Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,.
Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga.
Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia nikiendelea kumulika hapa naona kuna asilimia kubwa za Simba Kuto kwenda uwanjani siku ya mchezo...
"Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa...
Taasisi ya kupambana na rushwa imetuma barua ya wito Kwa Yanga na TFF Kwa makao mkuu Kwa mahojiano
Sakata linapamba moto
Source: Hans Rafael, mtangazaji crown media👑
Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili.
Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
"Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake. Mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji na Rais wa heshima wa timu Mohamed...
Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march.
Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile mchezo mwingine wa dabi kwa msimu huu 2024/2025 ilijitosheleza na hatukuhitaji kuendelea kulizungmzia...
Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya Yanga inayoihusu Yanga na kusahau inaweza kutokea TFF yenye mahaba na Yanga pia huko mbeleni...
Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama...
Hakika mwaka huu unaenda kuisha vibaya sana kwa TFF.....wameumbuka haswaaa!!
Pamoja na yote, TFF inaenda kushinda sababu mkubwa ni mkubwa tu na lazima "alindiwe" heshima yake ya ukubwa. Hata mtu mzima akitoa mashuzi wakati wa kula basi kibao hulambwa mtoto.
Lakini jambo Moja ni uhakika, nalo...
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo.
Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na...
Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9.
Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi.
kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
Katika hali ya kushangaza na ya kusikitisha, imekuwa kawaida sasa kwa timu mbalimbali kushiriki mashindano makubwa bila kujulishwa wazi zawadi au motisha wanazotarajiwa kupewa iwapo zitashinda. Hii siyo tu inakatisha tamaa, bali pia ni aibu kwa taifa kama Tanganyika, lenye historia ndefu ya...
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,
Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji
Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa
TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa.
Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.