Fiston Kalala Mayele-Mchezaji aliyekuzwa na Yanga!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,412
Reaction score
31,917
Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.

Kama alivyokuwa yule mwingine shabaan nonda Papii Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni.
images (15).jpeg
 
Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.

Kama alivyokuwa yule mwingine Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni
Mayele kanunuliwa na yanga mzee vile kakuzwa saa ngapi? Sema yang tunafeel proud kutambulisha jitu kama lile international. Nina uhakika hata aziz ki atafanya maajab sana pale moroko. Mayele kanunua mpaka kiwanja kigamboni, nashangaa ilishimdikana vipi kumpa uraia yule jamaa hapa
 
Hivi lini mtaacha kujipendekeza kwa huyu jamaa? Mayele tangu atukashifu Yanga tunamroga amenitoka kabisa
 
Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.

Kama alivyokuwa yule mwingine Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni
Mayele ni mchezaji wa Pyramids. Pia, Aziz Ki ni mchezaji wa Wydad AC. Yanga inamkuza Mkude
 
Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.

Kama alivyokuwa yule mwingine Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni
Kweli hajaisahau, alisema imemtupia majini
 
Mayele kanunuliwa na yanga mzee vile kakuzwa saa ngapi? Sema yang tunafeel proud kutambulisha jitu kama lile international. Nina uhakika hata aziz ki atafanya maajab sana pale moroko. Mayele kanunua mpaka kiwanja kigamboni, nashangaa ilishimdikana vipi kumpa uraia yule jamaa hapa
Wageni wanaruhusiwa kumiliki ardhi?
 
Back
Top Bottom