yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bulaya adai ripoti ya Machi 8 ya Simba na Yanga bungeni

    Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu. Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
  2. pakaywatek

    JamiiForums Tanzania Huenda yanga wakainusuru prison kutokushuka daraja.

    Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi. mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya point 9 watazopewa timu tatu walizozisusia jumla ni point 54 toa 73 Baki 19. hapo hata kanuni...
  3. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF kabidhi fedha za CRDB kwa Yanga kisha dai madeni Yako. Mnaiaibisha Bank

    TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili. TFF imekosea sana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya TFF kufumbia Macho mabaya yote ya Yanga matokeo yake ndio haya tunaanza kuyaona

    Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea... TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa. Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Maboresho yanayopendekezwa na Yanga yakitekelezwa, Simba na Yanga hawatakua peke yao—timu nyingine zitauona ubingwa

    Kwa miaka mingi, Ligi Kuu Tanzania Bara imeonekana kama ni jukwaa la timu mbili—Simba na Yanga—ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikinufaika na mfumo uliopo, huku timu nyingine zikipambana bila mafanikio makubwa kutokana na mazingira yasiyo na usawa. Lakini sasa upepo wa mabadiliko...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  8. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano yanga wanashida kwenye mahesabu yao ya kifedha au janja njanja

    Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa "Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu wa 2023/2024 ni 200 MILLION kitu ambacho SI KWELI. Ubingwa wa Kombe la Shirikisho ni 50M Miaka yote...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga Wameibuka Kuja Kuzima Vuguvugu La "No Reform No Election"

    Nimewai kusoma kitabu cha ‘War Made Easy: How Presidents and Pundits Keep Spinning Us to Death’ kitabu kimeandikwa mwaka (2005) na Norman Solomon. Moja ya mstari katika kitabu icho unasema “..., (he) alleges that many government administrations have distorted facts and manipulated the media to...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

    Wakuu hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF? === Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai Klabu ya Young Africans SC bila kutoa ufafanuzi wa deni lenyewe. Tunapenda kuujulisha Umma, kuwa...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  12. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Yanga na no reform no election

    Ni wazi kuwa timu ya Yanga wameamua kuwaunga chadema kwenye kampeni yao na hii itakuwa kuna watu wanawafadhili...kwa kuwa ukiangalia kwa undani slogan yao ya HATUCHEZI NG'O ni kama ya chadema. Serikali iwangalie vizuri hawa watu utakuta wana agenda ya siri na chadema.
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wameamua kuvaa roho ya fitna kama nguzo yao kuu ya habari

    Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi. Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Simba anaichora tu Yanga, TFF na Bodi ya ligi. Wasipoleta Timu Tarehe 15 Basi Simba lazima adai point 3 mezani au agome endapo kanuni hazitafuatwa

    Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini...
  17. pakaywatek

    JamiiForums Tanzania Yanga waache mipasho ili kuhalalisha mapungufu yao ya kiuongozi

    Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi yao ndiyo yatekekelezwe iwe uwanjani Hadi uongozini, na wanatishia wakiwa nyuma ya viongozi wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Yanga ni kama kitinda mimba mkiwaendekeza watawapanda kichwani; TFF na bodi Msiogope; wasipocheza kateni point sheria itajitetea yenyewe mbeleni

    Yanga ni miongoni mwa timu nzuri Tanzania bara! Lakini uongozi wa Yanga una utoto mwingi sana! Ukipitia historia ya maamuzi ya Yanga hutaacha kuona utoto ndani yake! Hawahawa Yanga WALIKIMBIA CHAMAZI COMPLEX kama uwanja wao wa nyumbani NBC league kwa sababu za kitoto, uwanja ulikuwa mzuri...
  19. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Simba, ila imani za kishirikina ndio zinazitesa Simba na Yanga

    Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu. Wewe kataa au kubali huo ndio ukweli ni hichi ndio kilichotokea tarehe 8/03 ndio kinachoanya gumzo kuwa kubwa ila...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Yanga Taifa Kubwa,Hatuchezi hadi bodi ya Ligu ijiuzuru!

    MSIMAMO WA YANGA (TAIFA KUBWA) 👉Zipi sababu za kuahirisha mchezo wa kwanza wa dabi ya Simba na Yanga tarehe 8 Machi 2025. 👉Kwa nini bodi ya ligi wamepanga mchezo mwingine bila suluhisho la sababu ya kuhairishwa mechi ya tarehe 8 ya Simba na Yanga? 👉kwa nini bodi ya ligi haikuchukua hatua za...
Back
Top Bottom