yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Aliyewadanganya Yanga SC kuwa mwaka huu nao Watashiriki 'Kimataifa' kisha 'Wakasajili' Wachezaji watakaosumbuana nao 'Kimalipo' atawaomba Radhi lini?

    Halafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama wakati kumbe nyuma ya Pazia mngekuwa mnapokea tu 'Ushauri' wangu leo mngefaidika nao na hata kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wana Yanga Wenzangu kwa hile tusikubali kwani huenda ikawa ni hujuma kwa Wananchi.

    Habarini Wananchi Wote, Kufuatia Idara ya uhamiaji kuagiza Timu zote ambazo zimeajiri kocha na Wachezaji wa Kigeni kuwasilisha Majina, Vibali vya kuishi na Vibali vya Kazi kwenye ofisi za Uhamiaji, Munaonaje sisi Timu ya Wananchi tukakataa kupeleka Vibali vya Morrison? Ikumbukwe kuwa hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga vs Fei Toto kuna amani kweli?

    Habari zinadai muunguja hataki kwenda mazoezini hadi alipwe chake je kuna ukweli juu ya hilo? Means yanga wanadaiwa bado? Gsm kazi yao IPI? Source ni facebook pages za wanayanga
  4. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Alan Shomari, mchezaji wa zamani wa Yanga

    Hakika inasikitisha sana TFF na Klabu zetu zinapowatelekeza Wachezaji wake walioliletea Taifa na Vilabu zetu wakati wanacheza mpira.Mchezaji Allan Shomari alikuwa Mchezaji mahiri wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa.Mchezaji huyu amepoteza uwezo wa kuona hali ambayo inamfanya ashindwe kuendesha...
  5. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tusikubali Usajili wa hawa akina Kisinda, Sarpong na Tonombe; ni mbovu. Tuandamaneni ili akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi warudi

    Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu' kabisa wa hawa Wachezaji akina Kisinda, Sarpong na Tonombe badala yake nataka akina Yikpe, Molinga na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yawezekana watanzania wanapenda zaidi kandanda kuliko Siasa, siyo kwa nyomi hii ya Yanga hapa Mkapa

    Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni. Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa? Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga kipindi cha pili, mgeni wetu aruhusiwe kuongeza mchezaji wote tuwe 11 kwa 11

    Kadi nyekundu wamepewa kiulaini sana na imewaua na kuharibu ladha ya mpira Tunataka kuona ubora wa wachezaji wetu na timu yetu yanga Hatuwezi kuona ubora kwa usahihi kwa kucheza na timu pungufu Kama rafu hata sisi tumecheza nyingi ila refa hajatupa kadi Tumpe nafasi mgeni wetu.. mechi ni ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa kweli wamewafunika Simba 100%

    Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha! Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya Sana. Show ya msanii (harmonise) Latisha namna alivyoingia uwanjani. Kabumbu limepigwa vizuri Sana...
  9. JamiiForums Tanzania Sisi Washabiki wa Yanga tunasema ushindi wa Mikia Ngao ya hisani ni ushindi wa Yanga

    Habarini Wana Yanga Wenzangu, Leo tukiwa pale Mkapa Stadium tukifanya show za kisanii na sarakasi zilizotaka kumdondosha Konde Boys kwenye rope, Wenzetu kule Arusha walichakaza Vibaya Namungo kwa kipigo cha Paka mwizi na kubeba Ngao ya Hisani. Ikumbukwe kuwa aliyefunga goli la pili la Simba ni...
  10. JamiiForums Tanzania Show ya Harmonize Yanga Day

    Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,toka juu ya paa la uwanja hadi kwenye pitch very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha tulizotarajia.
  11. JamiiForums Tanzania Mnapoambiwa Simba Sports Club siyo 'Wenzenu' nchi hii muwe mnaelewa sawa? Haya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli shindana na Serikali sasa!

    Muda si mrefu tu uliopita kuna Barua kutoka Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu kwenda kwa Klabu ya Yanga ikiwataka upesi sana Kurejesha Serikalini ( Wizarani ) Kibali cha Kazi cha Mchezaji halali wa Simba SC Bernard Morrison ambacho kwa Kiburi na Jeuri kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

    Habari wadau Inasemekana gsm wamegoma kutoa jezi mpya mpaka za zamani ziishe..
  13. JamiiForums Tanzania 'Injinia' Hersi Said wa Yanga SC na GSM yako ni lini utaacha 'Uwongo' wako na kupenda 'Kuwadanganya' mno wana Yanga?

    'Injinia' Hersi Said acha kudhani kuwa Watanzania hawafatilii mambo ya Michezo kama hao wana Yanga SC wako ambao kila mara unapenda 'Kuwadanganya' na sijui umewapa 'Sumu' gani ambayo aliyekuwa 'Mfadhili' wako Kipenzi kabisa Yusuph Mehboob Manji hakuwapa. Ulianza kuwaongopea wana Yanga SC kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

    RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki kilele cha #WikiYaMwananchi
  15. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wadanganywa tena kama watoto

    Baada ya hizi habari Yanga imefuta post zoote zilizozungumzia usajili wa huyu jamaa
  16. JamiiForums Tanzania Kwa 'Mapungufu' haya ya 'Kimsingi' kati ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga Mwakalebela na Mhamasishaji Nugaz bado tu tukisema Yanga kuna 'Shida' mtabisha?

    Akizungumza jana kupitia Kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Wilfred Mwakalebela alisema tena kwa 'Kujimwambafai' kabisa kuwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC kama kawaida leo 'wajazane' na 'wajimwage' Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ili Kumpokea...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Carlinhos, Kiungo fundi na bora kabisa kutoka Angola atua nchini kujiunga na Yanga

    Carlos Stenio Fernandes Guimares"Carlinhos", amewasili nchini Tanzania mchana wa Leo tayari kabisa kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya ya Yanga Carlinhos ambaye anacheza nafasi ya Kiungo mshambuliaji, anasemekana atakuwa ni kiungo bora kabisa ambaye amewahi kucheza kwenye ardhi hii ya Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Harmonize wimbo wa Yanga usingeimba singeli ungetoboa sana, hapa ni kama umecopy na kupaste tu

    Ifike wakati washauri wa wasanii hawa wawaze nje ya Box. Kwanza kutumika tu na Yanga ni kuiga walichafanya Mikia (Simba) lakini Kama haitoshi na nyimbo uliotunga ni umecopy Kama sio kubadili tu maneno. Huo wimbo wa Yanga ungeimba kwa mahadhi tofauti na singeli ungeenda mbali sana, Ila kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Alichokosea Dr. Msolla kuhusu mashabiki Yanga kuchangia usajili

    Dr. Msolla kwa nia njema kabisa alisema kuwa wadau wa Yanga wachangie fedha ya kusajili wachezaji 2 wa kigeni. Kwa kauli hii dk Msolla Amevuruga saikolojia ya wachezaji, amevuruga saikolojia ya Wana Yanga na amewapa nafasi upande wa pili kutibua vichwa vya wachezaji na mashabiki wa Yanga kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga inakufa Serikali iingilie kati kuiokoa

    Jamani Kama mjuavyo Simba na yanga ndio mihimili ya soka Tanzania. Mpira Tanzania ni maisha ni siasa ni uchumi usalama na amani. Bila yanga imara hata sisi Simba hatutakuwa na raha. Naitahasharisha serikali iingilie Kati kuiokoa yanga inaenda kufa kabisa itakuwa Kama mji mpwapwa tukuyu stars...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…