Ifuatayo ni Ratiba yetu wana Yanga SC ya Kuwapokea Mashujaa wetu kutoka Misri baada ya Kufuzu Kwao Makundi Klabu Bingwa Afrika kwa Kuwatoa Pyramids FC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,342
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,342 2,000
Saa 10:00 Timu Kuwasili
Saa 10:20 Wachezaji Kushuka kutoka katika Ndege kwa Magoti na Makalio
Saa 10:30 Wachezaji Kuangaliwa kwa Jicho baya sana na Wahudhuriaji Uwanjani
Saa 11:00 Golikipa Shikalo Kutemewa Mate na Mashabiki na Kupigwa Masingi
Saa 11:20 Kocha Zahera Kuwambwa Makofi hadi akumbuke Kuvaa Suruali na Kupiga Pasi Shati lake
Saa 11: 30 Wachezaji Kuangaliwa kwa Jicho baya kwa mara ya Pili na hata Kupigwa Mawe
Saa 12:00 Mwenyekiti Msolla na Makamu wake Mwakalebela Kurukishwa Kichurachura hadi Klabuni
Saa 12:30 Msemaji na Mhamasishaji Antonio Nugaz kupewa Poda ajipake na Dela jipya alivae
Saa 13:00 Kocha Mwinyi Zahera kuwahi Malori ya kwenda Kwao Kisangani Congo DR pale Kurasini

Nyote mnakaribishwa.
 

Forum statistics

Threads 1,364,450
Members 520,742
Posts 33,316,909
Top