Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,605
59,480
Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!?

RECORD HII HAPA

Dar es Salaam League
1944- Sunderland (Dar es Salaam)
1945 not known
1946 - Sunderland (Dar es Salaam)
1947-63 not known
1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
national (mainland) league
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
1973 - Simba (Dar es Salaam)
1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
1975 - Mseto Sports (Morogoro)
1976 - Simba (Dar es Salaam)
1977 - Simba (Dar es Salaam)
1978 - Simba (Dar es Salaam)
1979 - Simba (Dar es Salaam)
1980 - Simba (Dar es Salaam)
1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
1982 - Pan African (Dar es Salaam)
1983 - Young Africans (Dar es Salaam)
1984 - KMKM (Zanzibar)
1985 - Tukuyu Stars(Rungwe)
1986 - Maji Maji (Songea)
1987 - Young Africans (Dar es Salaam)
1988 - African Sports (Tanga)
1989 - Malindi
1990 - Pamba (Shinyanga)
1991 - Young Africans (Dar es Salaam)
1992 - Malindi
1993 - Simba (Dar es Salaam)
1994 - Simba (Dar es Salaam)
1995 - Simba (Dar es Salaam)
1996 - Young Africans (Dar es Salaam)
1997 - Young Africans (Dar es Salaam)
1998 - Maji Maji (Songea)
1999 - Prisons (Mbeya)
2000 - Young Africans (Dar es Salaam)
2001 - Simba (Dar es Salaam)
2002 - Simba (Dar es Salaam)
2003 - not awarded (*)
Tanzania Mainland (Tanzania Bara)
2004 - Simba (Dar es Salaam)
2005 - Young Africans (Dar es Salaam)
2006 - Young Africans (Dar es Salaam)
2007 - Simba (Dar es Salaam) [mini-league]
2008 - Young Africans (Dar es Salaam)
2009 - Young Africans (Dar es Salaam)
2010 - Simba (Dar es Salaam)
2011 - Young Africans (Dar es Salaam)
2012 - Simba (Dar es Salaam)
2013 - Young Africans (Dar es Salaam)
2014 - Azam FC (Dar es Salaam)
2015 - Young Africans (Dar es Salaam)
2016 - Young Africans (Dar es Salaam)
2017 - Young Africans (Dar es Salaam)
2018 - Simba (Dar es Salaam)
2019 - Simba (Dar es Salaam)
2020 - Simba (Dar es Salaam)
2021 - Simba (Dar es Salaam)
2022 -
 
Huu hapa ubingwa wa Yanga Tanzania Premier

Screenshot_20220115-131118.png

Huu hapa ubingwa wa simba Tanzania premier
Screenshot_20220115-131238.png
 
Tukuyu star ilichukua kombe mwaka gani!?
Tukuyu stars ili panda daraja mwaka 1985 na ilishiriki ligi daraja la kwanza mwaka uliofuata1986 na kuchukua kombe kabisa ikiwa chini ya wachezaji akina godwin aswile "scania"

Baada ya kupanda daraja na kushiriki ligi kuu Tanzania Bara mwaka 1986, Timu ya Tukuyu Star iliishangaza dunia kwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara, na kuziacha hoi timu kongwe za Simba na Yanga za Dar.
 
Hapana yanga bado ni mabingwa wa kihistoria, utofauti unakuja pale unapotaka kutafsiri neno kihistoria kwa wishfully thinking kwamba ionekane ni dhana inayomaanisha mara nyingi

Kwa hiyo yanga wamechagua namna yao ya kulitumia neno kihistoria kama comfort pale ambapo timu yao haifanyi vizuri

Kwa tafsiri hiyo ya wana yanga hata azam kama wangeamua wangeweza kujiita mabingwa wa kihistoria, kwasababu ipo historia inaonesha walishawahi kuchukua ubingwa mwaka 2013

Ila kuja hapa na kupiga makelele kwamba wamechukua mara nyingi huo ni mjadala mwingine ambao inabidi tukae chini tuchunguze kama ambavyo mleta mada kafanya
 
Tukuyu stars ili panda daraja mwaka 1985 na ilishiriki ligi daraja la kwanza mwaka uliofuata1986 na kuchukua kombe kabisa ikiwa chini ya wachezaji akina godwin aswile "scania"

Baada ya kupanda daraja na kushiriki ligi kuu Tanzania Bara mwaka 1986, Timu ya Tukuyu Star iliishangaza dunia kwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara, na kuziacha hoi timu kongwe za Simba na Yanga za Dar.
1986 inaonekana hapo Majimaji ndio ilichukua ndoo.
 
(1986 irekebishwe ionyeshe tukuyu stars badala ya majimaji) ila nimefurahishwa sana na hii tafiti... itasidia kupunguza uongo na uvivu wa viongozi wetu kutofuatilia mambo kwa kina!! Wanatuaminisha mambo ya uongo kuhusu historia ya ligi na huku kumbe hawajui chochote..
 
Asante nimefuatilia ni kweli ngoja nirekebishe.
 
(1986 irekebishwe ionyeshe tukuyu stars badala ya majimaji) ila nimefurahishwa sana na hii tafiti... itasidia kupunguza uongo na uvivu wa viongozi wetu kutofuatilia mambo kwa kina!! Wanatuaminisha mambo ya uongo kuhusu historia ya ligi na huku kumbe hawajui chochote..
Uongo upi wakati yanga kachukua mara 27
 
Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!?

RECORD HII HAPA

Dar es Salaam League
1944- Sunderland (Dar es Salaam)
1945 not known
1946 - Sunderland (Dar es Salaam)
1947-63 not known
1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
national (mainland) league
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
1973 - Simba (Dar es Salaam)
1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
1975 - Mseto Sports (Morogoro)
1976 - Simba (Dar es Salaam)
1977 - Simba (Dar es Salaam)
1978 - Simba (Dar es Salaam)
1979 - Simba (Dar es Salaam)
1980 - Simba (Dar es Salaam)
1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
1982 - Pan African (Dar es Salaam)
1983 - Young Africans (Dar es Salaam)
1984 - KMKM (Zanzibar)
1985 - Tukuyu Stars(Rungwe)
1986 - Maji Maji (Songea)
1987 - Young Africans (Dar es Salaam)
1988 - African Sports (Tanga)
1989 - Malindi
1990 - Pamba (Shinyanga)
1991 - Young Africans (Dar es Salaam)
1992 - Malindi
1993 - Simba (Dar es Salaam)
1994 - Simba (Dar es Salaam)
1995 - Simba (Dar es Salaam)
1996 - Young Africans (Dar es Salaam)
1997 - Young Africans (Dar es Salaam)
1998 - Maji Maji (Songea)
1999 - Prisons (Mbeya)
2000 - Young Africans (Dar es Salaam)
2001 - Simba (Dar es Salaam)
2002 - Simba (Dar es Salaam)
2003 - not awarded (*)
Tanzania Mainland (Tanzania Bara)
2004 - Simba (Dar es Salaam)
2005 - Young Africans (Dar es Salaam)
2006 - Young Africans (Dar es Salaam)
2007 - Simba (Dar es Salaam) [mini-league]
2008 - Young Africans (Dar es Salaam)
2009 - Young Africans (Dar es Salaam)
2010 - Simba (Dar es Salaam)
2011 - Young Africans (Dar es Salaam)
2012 - Simba (Dar es Salaam)
2013 - Young Africans (Dar es Salaam)
2014 - Azam FC (Dar es Salaam)
2015 - Young Africans (Dar es Salaam)
2016 - Young Africans (Dar es Salaam)
2017 - Young Africans (Dar es Salaam)
2018 - Simba (Dar es Salaam)
2019 - Simba (Dar es Salaam)
2020 - Simba (Dar es Salaam)
2021 - Simba (Dar es Salaam)
2022 -
Mkuu Mtibwa sugar walikuwa mabingwa back to back mwaka 1999 na 2000. Takwimu zako hazipo sawa
 
Back
Top Bottom