Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,519
108,795
Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu.

Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi.

Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki wamekasirika na wanahoji mengi baada ya Kuaminishwa na Wapuuzi Wawili kuwa Yanga SC ya Msimu huu haiachi Kombe lolote lile.

Sasa kwa Kuona kuwa Simba SC imechukua Ubingwa huu wa Mapinduzi Cup na Kesho (Leo) Gumzo litakuwa ni Simba SC tu huku Yanga SC ikizodolewa mmeamua mbadili Upepo na kwamba Kesho mtazungumza na wana Habari ili mumtambulishe Mchezaji wenu mpya wa Zambia Moses Phiri.

Halafu mkimaliza mje na Propaganda Kubwa kuwa mmeipiku Simba SC na muwalazimishe ( kwa kuwapa Pesa za Tajiri yenu GSM ) Watangazaji, Waandishi wa Magazeti na Wachambuzi wa Michezo nchini wampambe na wamzungumzie Mchezaji Moses Phiri ili Kufunika Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup na Muwazuge Mashabiki wenu Washamba ( Mambwiga ) wasiendelee Kuhoji kutolewa Kwenu mapema Mapinduzi Cup Nusu Fainali na Azam FC.

Wakati wenyewe tu kwa Kiherehere chenu na Sifa za Kijinga kama si Kipumbavu mliwaahidi hakuna Kombe ambalo hamtalibeba Msimu huu wa 2021 / 2022 kwa Kigezo kwamba Yanga SC ya sasa imesajili vyema na hakuna wa Kumzuia kama siyo Kumsimamisha.

Na tafadhali Uomgozi wa Yanga SC GENTAMYCINE nawaombeni katika hiyo ( hii) Press Conference yenu nliyoiitisha Kesho ( Leo ) pia mkumbuke Kuwaambia na kuwaomba Radhi wana Yanga SC wote kwa Kitendo chenu cha Kuwadanganya na Kuwaaminisha kuwa Kiungo Fundi wa Kizambia Clatous Chota Chama mmeshamalizana nae na anakuja Kuichezea Yanga SC wakati ukeeli ni kwamba ameshamalizana na Simba SC na ndipo atachezea huko pia.
 
Wewe unawashwa sana unahitaji kukunwa, ueleweki unaongea nini
Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu.

Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi...
Press ya yanga wewe inakuhusu nini, sherehe isiyokuusu utaivaliaje dela, kuwa makini kuvamia mambo yasiyokuusu
 
Hii ilitakiwa iwe weka tuweke..wakiitisha press yao mnyama nae anamtambulisha triple c...Yanga wako na uzembe mwingi sana..sema nn wamepata mashabiki mazamwamwa hayana shida
 
Hii ilitakiwa iwe weka tuweke..wakiitisha press yao mnyama nae anamtambulisha triple c...Yanga wako na uzembe mwingi sana..sema nn wamepata mashabiki mazamwamwa hayana shida
Na ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha wao Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) alisema ( ipo katika YouTube ) kuwa wana Yanga SC ni Nyani, Mbwa na Sokwe Mkuu.
 
Presss imehairishwa, itadoda sanaaa
Kama ni kweli imeahirishwa jua Wamejishtukia au huyo Mchezaji wa Zambia Moses Phiri waliopanga Kumtambulisha leo 'Kawachomolea' Mkuu a huenda kuna Jambo si la Kawaida limetokea na linaendelea huko Yanga SC.
 
Chama ni mwananchi ila baada ya siku kadhaa akutwa akichezea mnyama mkali huku akiwa amevaa jezi nyekundu

5C94F941-5E74-428B-9669-248713A05554.jpeg
 
Chama ni mwananchi ila baada ya siku kadhaa akutwa akichezea mnyama mkali huku akiwa amevaa jezi nyekundu

View attachment 2093746
Tuweke ushabiki pembeni, hivi kwa kosi lile la Yanga, huyu Chama anaweza kwenda kucheza namba ya nani ?? Sio ajabu hata yeye kaamua kurudi Simba kwa maana ndiko alikoona anaweza pata namba bila tatizo, Yanga ya sasa ni zaidi ya Berkane huko alikosugulishwa benchi paka akakimbia
 
kombe la mapinduzi lina gundu, ukilichukua tuu sahau vikombe vingine, wenyewe wanzanzibari wanasema 'gusa unate'......
 
Tuweke ushabiki pembeni, hivi kwa kosi lile la Yanga, huyu Chama anaweza kwenda kucheza namba ya nani ?? Sio ajabu hata yeye kaamua kurudi Simba kwa maana ndiko alikoona anaweza pata namba bila tatizo, Yanga ya sasa ni zaidi ya Berkane huko alikosugulishwa benchi paka akakimbia
unamuliza nani sasa
 
Duuuuh, Hv Mapinduz nalo umeona kombe..? Kwanza linakupeleka wapi kwa mfano.. Mihaho mnayo nyie Makolo maana Kombe la ligi ndo bac tena.. na sijui mtalipata lini maana Kila kukicha Yanga hii ina-improve tu
 
mapinduzi cup lina gundu, ukilichukua tuu lazima uangukie pua kwenye vikombe vingine. pole zao makolo…….
 
Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu.

Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi...
Shemeji, najua ulivyo msema ukweli.

Baada ya Mapinduzi cup nini kimetokea kwa Simba shemeji yangu?

Na kesho kaitaba hutoki salama, dalili zimeonesha mapema.

Kila laheri.
 
Back
Top Bottom