Moses Phiri akataa ofa ya Yanga, asaini Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,170
103,629
DEADLINE DAY| MOSES PHIRI TRANSFER 🚨

↪️The last updates from my sources in Zambia firmly believe Moses Phiri is joining Simba Sports Club of Dar Es Salaam in the summer window

↪️As reported before, Phiri has a pre contract with the Reds of Kariakoo, his side also highly respect the agreements they entered and they are ready to comply with

↪️It's true Yanga jumped in to seal this deal, they gave the best offer for the Zanaco Captain but to the Player it's not about money but about success and better environment to work

↪️It's also believed the presence of his Zambian counterparts, the likes of Chama na Bwalya play a very crucial role for him to only consider Simba as the final destination

↪️As it stands, it's done and dusted that the Chipolopolo Man will arrive in Tanzania around July ahead of the summer camp probably in North Africa (Probably)

↪️IS MOSES PHIRI RED AND WHITE?? OOH YES HE IS, WHY NOT??

↪️IS HE READY FOR NBC PREMIER LEAGUE?? YES, WHY NOT??

↪️GONNA BE SCARY HOURS FOR OPPONENTS? YES, ABSOLUTELY

What a busy deadline day 🚨

Credit Farham
 
Angalia usije kuaibika leo saa 10 jioni .... utaficha wapi sura yako ? Ngoja nipite kimyakimya
 
The last updates from my sources in Zambia firmly believe Moses Phiri is joining Simba Sports Club of Dar Es Salaam in the summer window

As reported before, Phiri has a pre contract with the Reds of Kariakoo, his side also highly respect the agreements they entered and they are ready to comply with

It's true Yanga jumped in to seal this deal, they gave the best offer for the Zanaco Captain but to the Player it's not about money but about success and better environment to work

It's also believed the presence of his Zambian counterparts, the likes of Chama na Bwalya play a very crucial role for him to only consider Simba as the final destination

As it stands, it's done and dusted that the Chipolopolo Man will arrive in Tanzania around July ahead of the summer camp probably in North Africa (Probably)

IS MOSES PHIRI RED AND WHITE?? OOH YES HE IS, WHY NOT??

IS HE READY FOR NBC PREMIER LEAGUE?? YES, WHY NOT??

GONNA BE SCARY HOURS FOR OPPONENTS? YES, ABSOLUTELY

What a busy deadline day

Anaripoti jrfarhan
jr_farhanjr-20220116-0001.jpg


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Daa unamimba ya mayele tayari trh 25 septemba
Alivyofanyiwa sub kwenye mechi ya azam pale zenji niliona mashabiki wa yanga wakipiga yowe na kila mtu akiweka matumaini yake kwake kwamba sasa ni muda wa kunyanyua makwapa

Mimi nikawaambia jamaa kaja kubeba lawama, na nimependa alivyoingia maana mechi ingeisha mmefungwa mngepata sababu kua mmefungwa kwasababu mayele hakucheza

Mashabiki wa yanga walichoka, yaani waliyemtegemea kwamba atafunga wakamuona anashangilia goli la penalty almanuara aburuze magoti kama anavyofanya CR7
 
Kwasasa Mchezaji yoyote wa hili bara la Afrika anayejitambua.
Akipewa ofa ya kwenda Yanga au Simba ni lazima atachagua Simba.
Hii inatokana na mafanikio ya Simba kwa hii misimu minne. Simba imejitangaza sana katika Bara letu la Africa.
Hela baba na mipango ya club iliyopo hayo mengine ni maneno tu . Kuna mchezaji kwenye ligi ya Bongo mwenye mafanikio kisoka kama Saido Ntibazonkiza?

Ukimuuliza kwa nini alikwenda Yanga SC ana majibu na sababu zinazoeleweka tena za uhakika hata ukimuuliza Senzo Kwa nini alitoka uchochoroni na kuelekea Jangwani nae ana majibu lukuki yanayoeleweka.

Watu wanaojitambua na kujielewa hawadanganyiki kwa Ujanja ujanja na Utapeli. Yanga wako kwenye project ya kisoka inayoeleweka ambayo ukisoma malengo na mipango yake ambayo utekelezaji wake umeshaanza kwa vitendo unaelewa hii club Leo na kesho yake itakuwaje.

Kuliko timu inayoongozwa kihuni na kikundi Cha Familia.
 
Hela baba na mipango ya club iliyopo hayo mengine ni maneno tu . Kuna mchezaji kwenye ligi ya Bongo mwenye mafanikio kisoka kama Saido Ntibazonkiza?...
Saido kwenda Yanga inajulikana aliletwa na Kaze kama alivyoleta ndugu zake wengi walioshindwa ligi. Sasa kama mchezaji haitajiki Simba ataendaje? Huyo Senzo alikimbia baada ya bodi kutaka kumwajibisha. Taarifa zilitoka na hakuwahi kukanusha.

Hayupo mchezaji dunia hii akahitajika na Simba na Yanga halafu akaenda Yanga. Hayupo.
 
Hela baba na mipango ya club iliyopo hayo mengine ni maneno tu . Kuna mchezaji kwenye ligi ya Bongo mwenye mafanikio kisoka kama Saido Ntibazonkiza? Ukimuuliza kwa nini alikwenda Yanga SC ana majibu na sababu zinazoeleweka tena za uhakika hata ukimuuliza Senzo Kwa nini alitoka uchochoroni na kuelekea Jangwani nae ana majibu lukuki yanayoeleweka. Watu wanaojitambua na kujielewa hawadanganyiki kwa Ujanja ujanja na Utapeli. Yanga wako kwenye project ya kisoka inayoeleweka ambayo ukisoma malengo na mipango yake ambayo utekelezaji wake umeshaanza kwa vitendo unaelewa hii club Leo na kesho yake itakuwaje. Kuliko timu inayoongozwa kihuni na kikundi Cha Familia.
mipango ya kuhonga timu ziikamie simba? Au mipango ya kuwalipa wachambuzi wa michongo wa kuisifia uto kila kipindi? Takataka kabisa
 
Saido kwenda Yanga inajulikana aliletwa na Kaze kama alivyoleta ndugu zake wengi walioshindwa ligi. Sasa kama mchezaji haitajiki Simba ataendaje? Huyo Senzo alikimbia baada ya bodi kutaka kumwajibisha. Taarifa zilitoka na hakuwahi kukanusha.

Hayupo mchezaji dunia hii akahitajika na Simba na Yanga halafu akaenda Yanga. Hayupo.
Message sent & Delivered.Najua Umeelewa ila umejitoa ufahamu na kusema makolokolo mtapata tabu sana kuanzia msimu huu na kuendelea . Leo Fuatilia kitakachompata mtoto wako kule Tanga ni mwendo huo huo msimu kwa msimu na ukikutana na Yanga ni kipigo tu msimu kwa msimu. Furaha yako ni sare
 
Back
Top Bottom