Nafikiri ni mda wa wale wanaoendelea kushupaza shingo kukubaliana na ubora wa yanga kwa sasa,,unaweza ukawa na chuki binafsi lakini aziwezi kukusaidia bali zitaendelea kukuumiza moyoni na kukusababishia magonjwa ya moyo, mechi ya leo dhidi ya geita ambayo imekuwa na ubora mkubwa uwanjani yanga...