Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kikilalamikiwa chinichini mara nyingi kwenye ulimwengu wa soka.
Ishu ya baadhi ya timu kucheza saa nane mchana wakati wa jua kali imekuwa ni kama kilio cha baadhi ya timu ambazo zinaonekana hazina nguvu kubwa.
Simba na Yanga wao ni wakubwa, TFF na Bodi ya Ligi...
Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa...
Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi.
Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
"Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao" Dismas Ten aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC na Mwandamizi wa Uongozi ndani ya Klabu hiyo ya Yanga...
Injinia Hersi baada ya kudaka saini ya KI aziz Stephanie , Peter shalulile huku ikisemekana wanamtumia Ibenge kuharibu deal la Adebayor ili wamchukue amefanya matusi makubwa sana
...................Tiririka nayo kutoka kwa Fabrizio Romano wa Jamii forums..............................
Unaambiwa...
TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie.
Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu...
Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na matokeo ya pale Kilimanjaro kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba.
Hii imejidhihirisha kwa vitendo...
Chelsea: kumsajili Torres kutoka Liverpool na Lukaku kutoka inter.
Man Utd: kumsajili Ronaldo kutoka Juventus.
Psg: kumsajili Neymar na Messi kutoka Barcelona.
Arsenal: kumsajili Pepe kutoka Lille.
Yanga: kumsajili Makambo mara ya pili.
Simba: kumsajili Chikwende kutoka Platnum.
Huu ndio ushauri wangu kwa viongozi na wachezaji wa Yanga ili tusije kujikuta tunakosa ubingwa au kutwaa ubingwa dakika za mwisho kabisa.
Sifa kwa Yanga zikiwemo sifa kwa wachezaji binafsi, ni nyingi sana(off course mnastahili), ila nawashauri zisiwafanye mlewe sifa mkawa na overcofidence ikaja...
Sasa rasmi gape la pointi imekuwa alama 10 kati ya yanga na simba, ni umakini mdogo wa polisi leo kulikowafanya washindwe kuondoka na alama 3, wamecheza vizuri sana lakini umakini wao mdogo kwenye final third umewafanya waokote point moja, Mbio za ubingwa kwa timu ya wananchi zinazidi kurahisishwa
Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Azam Sports Federation utapigwa usiku huu ambapo Yanga atawakaribisha Geita Gold katika dimba la Benjamin Mkapa.
Kwa live updates tukutane hapa saa 1::00 usiku
=================
Mchezo umeanza na timu zote zinashambuliana kwa zamu.
Dk ya 20: Geita...
Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti.
Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo...
Inna Lilah, Wa Inna Ilaihir Rajiuun,
Aliyekua Katibu Mkuu wa Yanga Bwana Abdul Sauko amefariki leo Alfajir katika Hospital ya Mloganzila.
Taarifa zaidi zitafuata
=====
Abdul Sauko (kushoto) akiwa na Seif Magari (kulia).
Klabu ya Yanga imepata msiba wa kiongozi wake wa zamani Abdul Sauko...
Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri.
Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika.
Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya…
@ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba
@VAR...
Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa.
Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
Pamoja kuwa wote ni wana CCM lakini wametofautiana pakubwa sana, Nape yuko na moyo wa kuwatumikia wananchi. Makamba kila anachoongea hakitoki moyoni (anaweza kuongea kitu mpaka ukashangaa hivi huyu nae ni Waziri).
Kwa kweli Nape namkubali sana mzee wa bao la mkono ila Makamba daaaa! kila...
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC.
Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili...
Nafikiri ni muda muafaka wa kujitokeza tena kutaja mechi nyingine ambazo yanga atapoteana maana ulizotaja zote yanga kaokota point kibabe, ulianza na mtibwa, kmc,geita gold na azam vipi kuna nyingine🤣🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.