Comfirmed: Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba atua Yanga SC

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
KOCHA WA MAKIPA WA SIMBA MBIONI KUJIUNGA NA YANGA SC

Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Yanga SC inakaribia kumnasa kocha wa zamani wa Simba, Mbrazil Milton Neinov ambaye alikuwa kocha wa magolikipa kipindi cha utawala wa Didier Gomes.

Yanga wanamchukua Mbrazil huyo kwa ajili ya kuliongezea nguvu benchi la vinara hao wa NBC Premier League.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
1642396808412.png

Aliyekuwa kocha wa Magolikipa na kuifanya Simba ifungwe na Kaizer Chiefs F.C. bwana Milton Nienov aibukia Yanga. Tuliaminishwa kuwa leo kuna jambo kubwa; kumbe kocha mzembe mwenye ujuzi mdogo kwenye mipira ya cross.

Kila kitu wakiachana nacho Simba yanga wanaona ni dhahabu.

Mashabiki wa yanga waliaminishwa Phiri au Msuva, kumbe utopolo kibao.
 
Ni Bora upewe gunia lamkaa kuliko Mangungu. Hana uwezo kabisa wa kuongea na waandishi hasa akiwa kwenye presha.
 
Aliyekuwa kocha wa Magolikipa na kuifanya Simba ifungwe na Kaizer Chiefs F.C. bwana Milton Nienov aibukia Yanga. Tuliaminishwa kuwa leo kuna jambo kubwa; kumbe kocha mzembe mwenye ujuzi mdogo kwenye mipira ya cross.

Kila kitu wakiachana nacho Simba yanga wanaona ni dhahabu.

Mashabiki wa yanga waliaminishwa Phiri au Msuva, kumbe utopolo kibao.
Umekosa hoja umeazna kuokoteza vitu vya kijinga
- Morrison
  • Gadiel
  • Kakolanya
Na yule Doctor wa viungo wametoka wapi?
 
Kwenye hiyo listi ongezea

Kakolanya;

Gadiel; na

Morrison.
Ahaaa! Hapana , umekosea . Kwa kakolanya , Gadiel na Morisson simba walipindua meza kibabe ndo Maana ukaona Yanga wakaenda Hadi CAS . Ila kwa Manara , senzo na huyo kocha walitimuliwa simba uto wakaokota.Umeona hiyo tofauti ?
 
Soma hoja ya huyo niliyemnukuu, usiwe kama watu Rage alikuwa anasema wamejaa huko Bata fc.
 
Back
Top Bottom