yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Je, ni Maruhani ya kiarabu kutoka kwa kocha yanaisaidia Yanga?

    Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina. Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu. Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Bakuli la Yanga lipo pale pale

    Wasemavyo hahenga, masikini hasemwi na mwenye njaa hasutwi. Leo napenda kuongelea tabia ya timu ya yanga kuwa ombaomba huku wakitembeza bakuli wachangiwe, bado lipo palepale. Sasa limebadilishwa, linakuja kwa jina la kuchangia 29,000 kwa kila mwanachama. Hii ni dalili tosha kuonesha ukata...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

    simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria. Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa

    Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

    Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani? Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti...
  6. Little brain

    JamiiForums Tanzania "Hakuna mchezaji wa yanga sc anayeweza kuanza kwenye first eleven ya simba sc" - Ahmed ally

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
  7. Labani og

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa timu ya Simba, course ya upigaji penalti yafunguliwa na Yanga

    Salaaam Wana JF Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa matajiri wa GSM imekuja na course fupi ya Upigaji wa penalt kwa wachezaji wa SIMBA ili kupunguza idadi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

    Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu alianza Injinia Hersi kwa Kauli ya Dharau na Leo tena Bumbuli kairejea, hivyo tusikubali na GSM waondoke haraka hata kwa Bakora

    "Tunawataka wana Yanga SC wote wajisajili kwa huu Mfumo wa Kielektroniki ili tuwe tunswajua wale ambao watakuwa wana misbehave kwani hivi sasa ili mwana Yanga SC uwe na ruhusa ya Kutusema, Kutukosoa au kutupigia Kelele yakupa uwe umeshajisajili kwa Mtindo huu na uwe Umelipia Ada yako vinginevyo...
  10. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

    Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Linganisha rekodi hizi za Simba na Yanga

    1. YANGA ndiyo timu ya kwanza Tanzania kucheza mashindano rasmi ya CAF walicheza klabu bingwa mwaka 1968 wakati simba ndiyo timu ya kwanza kupanda ndege mwaka 1963 walienda Ethiopia kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo kucheza ndondo. 2. YANGA ndiyo timu ya kwanza kutinga robo fainali ya CAF...
  12. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata kwanini Yanga ni bingwa mara 27

    Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League amechukuwa ubingwa huo mara 27 katika makala hii niitajibu maswali yote yanayohojiwa hapa jukwaani kuhusu rekodi hizo. Katika orodha hiyo hapo chini ukihesabu ubingwa wa Yanga kwa LIGI KKUU TANZANIA BARA TU Yanga...
  13. DullyJr

    JamiiForums Tanzania Comfirmed: Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba atua Yanga SC

    KOCHA WA MAKIPA WA SIMBA[emoji881] MBIONI KUJIUNGA NA YANGA SC[emoji617] Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Yanga SC [emoji617] inakaribia kumnasa kocha wa zamani wa Simba[emoji881], Mbrazil Milton Neinov[emoji1054] ambaye alikuwa kocha wa magolikipa kipindi cha utawala wa Didier...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini YANGA wanadai wameshinda mara 27 lakini uhalisi ni mara 22?

    Nimepitia mitandao mingi ya uhakika inayoweka kumbukumbu za ubingwa wa soccer duniani. Kumbukumbu hizo zinaonesha Yanga kachukua ubingwa mara 22. Nimeweza kuenda kwenye website ya Yanga nao pia wameweka Title mara 27 lakini miaka waliyoiorodhesha inaishia 22. Je, lengo la yanga kutunga na...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Moses Phiri akataa ofa ya Yanga, asaini Simba SC

    DEADLINE DAY| MOSES PHIRI TRANSFER 🚨 ↪️The last updates from my sources in Zambia firmly believe Moses Phiri is joining Simba Sports Club of Dar Es Salaam in the summer window ↪️As reported before, Phiri has a pre contract with the Reds of Kariakoo, his side also highly respect the agreements...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

    Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena. Kwa uhalisia yanga yupo na ubingwa mara 22 sawa na simba(ubingwa wa ligi kuu) Yanga kwa sasa hawana kichaka cha kujificha.
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

    Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!? RECORD HII HAPA Dar es Salaam League...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

    "GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

    Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni. "The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar...
Back
Top Bottom