yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

    Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tutarajie press muda wowote kuanzia sasa kutoka Yanga SC

    Mitaa imetamalaki kila mmoja anaizungumzia Simba SC, matokeo ya kishindo usiku wa jana umempa tabasamu kila Mtanzania. Hii ni hatua kubwa sana kwa Simba na taifa kiujumla, baada ya Simba tutinga robo fainali caf confederation cup kumeifanya Tanzania kupeleka uwakilishi wa vilabu vinne musimu...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kabwili: Yanga bado wananilipa, nilipagawa, sina wa kumlaumu, narudi uwanjani

    Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute nafasi ya kuonana na mwanasaikolojia kutokana na kile ambacho kilitokea mitandaoni kumuhusu yeye...
  4. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Je, kuna upendeleo katika kupanga Ratiba ya Kombe la FA kwa timu za Yanga na Simba?

    Wakuu Habari ya Wakati. Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani? Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar, Polisi na Geita? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Haji Manara aipaisha ubora Yanga CAF

    Hakika Manara ni mmoja tu simba mmepoteza mtu hapa, toka Bugatti amejunga na vinara wa ligi kuu tz bara yanga. Amefanikiwa kuipaisha pakubwa clabu hiyo kwenye viwango vya caf, ikumbukwe kuwa, yanga ilikuwa ya 304 kwa ubora barani Africa kabla ya kujiunga nao. Kutokana na maneno yake yenye...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Visa' ambavyo Kocha Nabi anawafanyia Yanga SC sasa niseme tu Kocha Pablo 'out' na Yeye 'Msimbazi' kunamkaribisha

    Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia. Mara kwa mara Kocha Nabi amekuwa akiombwa Kujikita zaidi na Yanga SC Kimafunzo ila Yeye kila ambapo Klabu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema Haji Manara ni Simba SC 'lia lia' mnatukatalia, haya 'mbishieni' na huyu mwenye Yanga SC yake DC wa Ikungi Jerry Muro kwa huu 'Ukweli' wake

    "Ninachojua tu ni kwamba Rafiki yangu Haji Manara ni Mwanachama Hai wa Simba SC na anaipenda Klabu ya Simba kuliko Kitu kingine chochote isipokuwa ujio wake huku Kwetu Yanga SC ni kutokana tu Hasira pamoja na kutafuta Ridhiki ila nina uhakika Siku isiyo na Jina Hasira zake zikiisha au Yanga SC...
  8. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Rasmi natangaza kujitoa kuishabikia timu ya Yanga

    Mbuzi na simba hatuwezi kaa zizi moja baada ya kuona hili [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Hatimaye nimejitoa naombeni kujua kadi ya uanachama wanairudisha wapi.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ikiifunga Azam FC Uvumilivu utanishinda na kuna Viongozi Watatu wa Simba SC nitakula nanyi sahani Moja

    Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi. Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii. Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kupenyezwa kwa Yanga kwenye siasa ni issue ya GSM na Makonda?!

    Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa sahihi nikisema GSM ameamua kuitumia Yanga kujipenyeza na kumpigia kampeni mama Samia ili kupata...
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

    Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele. Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
  12. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

    Habari, Young Africans Mabingwa Wa Kihistoria Nchini Leo Wataingia Uwanjani Kumkaribisha KMC kwenye mchezo wao wa kumi na name hapo saa moja kamili usiku Uwanja Wa Benjamin Mkapa. Hadi sasa Young Africans hawajapoteza mchezo wowote na inawafanya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi. Tunategemea...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela: Yanga ni Tishio Barani Afrika

    🗣“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi hawatoki, na moto utaendelea hadi tubebe ubingwa wa Ligi Kuu.” Ameongea Fredrick Mwakalabela,Makamu...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Simba mechi zilizosalia 2021/22, ikiwemo mtanange dhidi ya Yanga

    Kuna mdau wa Klabu ya Simba, ameweka mtandaoni ratiba hii ya michezo ijayo ya Simba akijumlisha ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika inayoratibiwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). ⚽Asec Mimosas vs Simba 📅 20 March 2022 🏟 General Mathieu Kerekou Benin. ⏰ 19hrs ⚽Polisi TZ...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Siri za mikataba ya mastaa Yanga

    UONGOZI wa klabu ya Yanga umefichua sababu za kuwasajili wachezaji kwa mikataba mifupi ni kutokana na mifumo ya soka hapa nchini ilivyo. Klabu nyingi za Tanzania zimekuwa na utaratibu wa kuwapa wachezaji wake mikataba mifupi ikiwemo miezi sita, mwaka mmoja hadi miwili na Yanga wameweka wazi...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rage ataja mechi Nne za kuishusha Yanga

    MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage amesema hakuna wa kuizuia Simba kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, lakini akajilipua kwa kutaja mechi nne za kuitoa Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara. Rage amesisitiza Yanga kukaa kileleni kwa msimamo hakuwezi...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dalili za ubingwa kwa Yanga katika Ligi Kuu Bara 2021/22 hizi hapa

    Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne. ● Magoli ya kufunga – 29 ● Magoli ya kufungwa – 4 ● Assists – 21 ● Cleansheets – 13 Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Isiwaume nauliza tu: Hivi Yanga walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF?

    Naona wenzetu ni wakarimu sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je, walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
  19. karv

    JamiiForums Tanzania Mkishindwa kushindana, muungane

    Katika siku ambayo Dauda ameongea maneno ya hekima na busara basi ni jana YANGA kuna haja kubwa ya kujifunga kutoka kwa watani zenu "Kuna wakati wengine wakae na Viongozi wa Simba mnajadiliana tu kuwa imewezekana vipi kuwa na mwendelezo kwa misimu mitano, ipi siri! Nanyi mnajifunza Real Madrid...
  20. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Yanga imepangwa kind gum kimataifa,yaan had inatoa date nyumban

    Wana Yangu oyeeee!! Inatakiwa mlalamike jaman,maana umepangwa kind gum mno Jana mlopocheza na clab ya Al shabab mlitoa sare Polen sana
Back
Top Bottom