Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati.
Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha.
Mara walie mara wapige sarakasi mara...
1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll!
2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake akahangaika mpaka refa akamuona na kumtoa nje wakati Simba ishapasuliwa muda huo
3. Simba kuwa mbovu na...
Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao...
Nafikiri mpaka apo akuna swali yanga anakwenda kubeba makombe yote msimu huu, pongezi kwa kocha Nabi kwa mbinu bora amedhihirisha sio kocha wa kubahatisha, pongezi kwa wachezaji, wamefanya kaxi kubwa, siku zote mpira sio maneno ni vitendo, aya sasa babra na watu wake wawai uwanja wa ndege warudi...
Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana katika Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22, leo Jumamosi Mei 28, 2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, huo ni mchezo wa mwisho kwa timu hizo kukutana msimu huu.
Katika mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu hakuna mbabe...
Ahlan Wasahlan wana JF
Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.
Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga, zinasema klabu hiyo imefikia uamuzi wa kuachana na nyota wake, Saido Ntibazonkiza kufuatia makosa ya kinidhamu ya hivi karibuni na kile kimachodaiwa kuwa Saido aligomea kusaini mkataba mpya kuendelea kusalia klabuni hapo. https://t.co/4fEpD2zd8U
Utopolo wekeni dawa zenu za pressure kwenye mikoba wallet, mifukoni jmosi mtanyeshewa mvua nawapa tahadhari. Simba tunakazi moja ya kuwabutua butua goli za kunawiri.
The utopolaz a.k.a Yanga
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.
Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili...
Huku joto la watani wa jadi likizidi kupamba moto kuelekea nusu fainali Asfc jumamosi hii, mapema leo mwamuzi atakayechezesha mtanange huo amewekwa wazi.
Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo.
Habari za ndani ndani zinadai Kiungo mtaalamu wa PSG Idriss Gueye anatua jangwani na amekubali...
Mnyama mkali kuwahi kutokea dunian, Simba sc atakuwa dimbani kuchezea dhidi ya timu ndogo Yanga sc nusu fainali ya Azam federation cup jumamosi hii.
Ikumbukwe kuwa Simba sc wamekuwa wakiifumua vilivyo watani zao 🐸 katika mashindano haya.
Wamekutana mara mbili, huku mnyama huyo mkali akiibuka...
Wakati Yanga akihitaji point nne tu kutangaza ubingwa huku ikibaki michezo mitano kukamilisha ligi kwa timu zote mbili, ninependa kujua timu zilizobaki kucheza na Yanga na zile zitazocheza na Simba.
Nimekuwa nikiona mijadala mbalimbali ikiendelea hapa wakishindanishwa magolikipa diarra na Manura kwamba nani ni bora, Naweza kusema golikipa Djigui diarra kuna vitu vingi sana kamzidi manura achilia mbali kufanya vizuri kwenye ligi ya Tanzania, uyu diarra walio wengi wamekuja kumjua...
Za weekend wadau wa soka,
Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.
Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.
Ila bingwa anaongoza...
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana leo Mei 20, 2022 kusikiliza mashauri yaliyowasilishwa yakiwahusu Ofisa wa Yanga, Haji Manara na Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.
Katika mashauri hayo Yanga iliwasilisha malalamiko yake kuhusu Barbara ikidai aliichafua...
Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na kuwafanya wale wa chini wajione kama wao ni takataka.
Ndiyo maana ‘treatment’ ya viongozi wa Serikali...