Lini yanga watalipa goli 5-0 waliofungwa na simba 1977 miaka 45 nyuma?

BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
586
760
Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao kuweka rekodi yao.
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.

Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?
 
Na pia kuna 4-1 kama mara mbili- mojawapo nadhani ilikuwa 2019 tu kama sikosei.
Lakini yote tisa- leo nilikuwa nina kihoro sana kupigwa hata 6 hivi au zaidi.
Na ni bahati yao tu kidogo Onyango achomoe na kulazimisha mikwaju ya penalt ambayo mara nyingi huwa bahati nasibu tu.
 
Yanawahusu sana tena kila mechi yenu na Simba kulipa.madeni, mnajikausha tu.
Leo ilikuwa chance yenu kubwa kwani mnyama alikuwa dhaifu mno lakini mmehangaika sana hilo goli kulilinda- na pia Mayele wenu akawafunge Numumgo, sio sisi nhana.
Wananchi leo tulihitaji ushindi tu. Hizo rekodi nyingine zitaandikwa wakati mwingine.
 
goli moja linauma mno! endeleeni kujifariji

Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao kuweka rekodi yao.
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.
Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?
ngoja nikukumbushe mtani mechi ya goli 5 nadhani ilikuwa 2012 au 2013 kulikuwa na mgogoro mkubwa Jangwani klabuni wa Yanga Asili na Yanga kampuni na siku moja kabla ya mechi Mzee Akilimali aliongea mbele ya TV mimi nikishuhudia akavua kofia akaweka juu ya meza akasema kwa hasira tutaona nani mbabe kesho derby!

msijisifu hamkuifunga Yanga kwa kuizidi ufundi bali maelekezo! fikisha kumbukizi hii Msimbazi wengi wenu hamuijui!!
 
Sita yanauma sana yanaonyesha kweli ni timu ya utopolo na siyo kufungwa kwa bahati, lkn moja linaonyesha mmepambana na wanaume kweli kweli na pengine bahati tu.
Comeon- lipeni madeni yanayowatia doa baya sana kihistoria
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki au ndio umetafuta kichaka cha kujipozea machungu? Yanga leo imepata kagoli kamoja tu, vipi kamewatoa mashindanoni ama lah? Na Simba wameambulia na kombe la mapinduzi pekee msimu huu.
 
Mikia siku zote najua hmnazo. Lakini nyie mlivyo na mioyo mibovu hata mgongwe 100 mtatafutia namna ya kujiliwaza
 
Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao kuweka rekodi yao.
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.
Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?
Mnajifariji
Mshaliwa kichwa tulie tuliiii
Wajinga nyie
 
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki au ndio umetafuta kichaka cha kujipozea machungu? Yanga leo imepata kagoli kamoja tu, vipi kamewatoa mashindanoni ama lah? Na Simba wameambulia na kombe la mapinduzi pekee msimu huu.
goli moja ni dogo ila kwa Dkk 60 wameshindwa kusawazisha
 
Back
Top Bottom