Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi...
Huu ni mgawanyo wa hela kwanzia namba 1 hadi wa 16 ukiangalia vizuri yanga anapata 600m wakati wa mwisho anapata 10m na wapili anapata 300m je haki iko wapi kwa bingwa kupewa hela mingi hivoo? Mi naona mgawanyo ungekua sawa ili ligi iwe na ushindani zaidi
Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki.
Tutanuniana sana Mwaka huu.
Hawa wachezaji wa kimataifa walikuwa first eleven pale Jangwani, wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha Real Madrid kufumba na kufumbua eti wapo Kitayosce sijui DTB sijui Namungo.
Labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45, the rest ni kalaana fulani hivi, Yanga tupunguze uchawi kwa...
Mkiambiwa kwamba Yanga sc ndiyo mabingwa watarajiwa wa Afrika na klabu bingwa ya dunia msibishe, leo CAF kwenye page yao ya twitter wamepost kwa furaha clip ya team hiyo huko mwanza na vi emoji vya shangwe kwani wana matumaini makubwa kwa team hiyo kuwa ya kwanza toka afrika kubeba ndoo ya dunia...
➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo
➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati.
Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha.
Mara walie mara wapige sarakasi mara...
1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll!
2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake akahangaika mpaka refa akamuona na kumtoa nje wakati Simba ishapasuliwa muda huo
3. Simba kuwa mbovu na...
Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao...
Nafikiri mpaka apo akuna swali yanga anakwenda kubeba makombe yote msimu huu, pongezi kwa kocha Nabi kwa mbinu bora amedhihirisha sio kocha wa kubahatisha, pongezi kwa wachezaji, wamefanya kaxi kubwa, siku zote mpira sio maneno ni vitendo, aya sasa babra na watu wake wawai uwanja wa ndege warudi...
Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana katika Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22, leo Jumamosi Mei 28, 2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, huo ni mchezo wa mwisho kwa timu hizo kukutana msimu huu.
Katika mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu hakuna mbabe...
Ahlan Wasahlan wana JF
Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.
Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga, zinasema klabu hiyo imefikia uamuzi wa kuachana na nyota wake, Saido Ntibazonkiza kufuatia makosa ya kinidhamu ya hivi karibuni na kile kimachodaiwa kuwa Saido aligomea kusaini mkataba mpya kuendelea kusalia klabuni hapo. https://t.co/4fEpD2zd8U
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.