yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

    Dah,huyu jamaa
  2. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Yanga hawatafurukuta CAFCL.

    Baada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao. Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba akishadhibitiwa basi tu inatepeta. Simba ndio kipimo cha watakachokutana nacho ligi ya mabingwa. Kama Yanga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

    Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana👏👏👏👏👏
  4. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu mechi ya Simba na Yanga 29.04.2022

    Hello soka lovers JF Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi...
  5. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

    Naaam wasalam wakuu, Ile siku maalumu iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imefika..Pambano la watani wa jadi katika soka la bongo, leo mtoto hatumwi dukani Karibuni katika matukio mubashara(live updates) ya mtanange huu wa kukata na shoka baina ya mahasimu wa Soka la bongo, #KariakooDerby...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakati mkataba wa Yanga ukimalizika, Bakari Mwamnyeto asaini mkataba wa Tsh milioni 190

    Wakati msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa beki kisiki wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na vigogo kadhaa amesaini dili jipya. Taarifa zinaeleza kuwa Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Tsh...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni dhahabu mchangani

    Pamoja na kubezwa mara kwa mara, kupondwa na wakati mwingine baadhi ya watu kutoa wito wa vilabu hivi vikongwe vitoweshwe kwenye ulimwengu wa soka kwa kudaiwa kwamba vinadidimiza mchezo wa soka, ni ukweli usiopingika vilabu hivi viwili ni dhahabu mchangani kwa maendeleo ya soka na nchi kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga SC yangu (yetu) Kesho nashauri kiwe hiki na Kisibadilishwe tafadhali

    FIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho 1. Msheri 2. Shomary 3. Yassin 4. Job 5. Shaibu 6. Mauya 7. Kaseke 8. Mapinduzi 9. Ushindi 10. Makambo 11. Ambundo Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe...
  9. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ubashiri: Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Jumamosi

    MECHI YA YANGA NA SIMBA TUMEICHUNGULIA TAYARI... KWA NAMNA YOYOTE ILE LAZIMA SIMBA AFUNGWE... ATAKE ASITAKE...INSHAA ALLAAH... Nabi ataanza na kikosi hiki Inshaa Allaah... 1. Diarra 2. Djuma shaban 3. Kibwana Shomari 4. Bangala 5. Mwamnyeto 6. Aucho 7. Moloko 8. Sureboy 9. Mayele...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Combined Yanga vs Simba Jumamosi

    1 Manula 2 Djuma 3 Hussein 4 Mwamnyeto 5 Enonga 6 bangala 7 Sakho 8 Feisal 9 Mayele 10 Chama 11 Morrison
  12. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi Ramadhani Kayoko kuwa 'Pilato' mechi ya Yanga vs Simba

    SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11 jioni, huku kikao kizito kikifanyika, ukweli umebainika kwamba mwamuzi Ramadhan Kayoko amepewa kazi...
  13. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka leo mwamuzi wa mechi ya Yanga Vs Simba hajatangazwa?

    Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa! TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani. Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
  14. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar

    JOTO la mpambano wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Simba utakaopigwa Jumamosi Aprili 30, 2022 saa 11 jioni wiki hii katika Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda. Hii sio tu kwa mabosi wa timu hizo, ila hata mashabiki wao. Lakini kuna tukio kubwa lililojiri jijini Dar es Salaam jana usiku. Vigogo...
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Sasa tuzungumze kimichezo, Nawapongeza sana Simba, Yanga tuna la kujifunza kwa Simba hili liko wazi atakayebishe ana matatizo kichwani

    Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba. Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nasikitika Wadau wa Mpira hatumpongezi Mwamuzi wa leo aliyewachezesha Yanga SC na Namungo FC kwa Uchezeshaji mzuri na wa Kuigwa

    Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa mechi ya Yanga na Geita Gold apelekwa kwenye kamati ya waamuzi ya TTF kwa ajili ya kuchukuliwa hatua

    Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale. Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
  18. P

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo tarehe 23/04/2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, vinara wa ligi Dar Young Africans almaarufu kama Yanga watashuka dimbani kuikaribisha timu ya Namungo FC kwenye mechi la NBC Premier League Nitakuwa nawe kukuletea yatakayojiri kwenye uwanja huo, mpira utaanza saa moja kamili usiku kwa saa...
  19. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Yanga Vs Namungo ni saa ngap wajomba ?

    Mweny taarifa sahihi unsaidie ili nijiandae,nkashuhudie Yang akipoteza point tatu
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi ifanyie kazi ishu ya wachezaji kuunguzwa na nyasi mechi za saa 8 mchana, Simba na Yanga wasiwe watoto special

    Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kikilalamikiwa chinichini mara nyingi kwenye ulimwengu wa soka. Ishu ya baadhi ya timu kucheza saa nane mchana wakati wa jua kali imekuwa ni kama kilio cha baadhi ya timu ambazo zinaonekana hazina nguvu kubwa. Simba na Yanga wao ni wakubwa, TFF na Bodi ya Ligi...
Back
Top Bottom