VIPAUMBELE VYANGU ENG HERSI SAID NIKIWA RAIS WA YANGA
(1) MIUNDOMBINU YA KLABU
(a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000-KAUNDA JANGWANI.
(b) Marekebisho ya jengo la klabu-JANGWANI
(c) Kuendeleza TRAINING CENTRE-KIGAMBONI
(2) MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU
Klabu yetu...
BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.
Na Thadei Ole Mushi.
Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga mzito anaoutoa GSM kwenye timu, ukiachana na ufundi wa makocha wetu kunakiumbe kinapigana pale...
Haya ngoja tuone
Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison
Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao
Inasemekana jamaa kafariki dunia
Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
Mechi ya final ya Azam FA Bakari Mwamnyeto alikuwa uchochoro wa wazi kwa Wana Tanga coastal Union. Kulikuwa na mpango Mwamnyeto acheze chini ya kiwango kwa kupewa kadi ya njano mapema.
Watu wa Soka,
Tunaendelea na taarifa kuhusu usajili tulioufanya na maboresho yanayoendelea kwenye benchi la ufundi na kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu.
Baada ya mshambuliaji Habib Kyombo na kiungo Aziz Andabwile, sasa tumefanikiwa kuinasa saini ya beki wa klabu ya Yanga Paul...
Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana
Gwiji hilo pia katika kuitetea...
Clean sheet inahesabika pale unapotoka na ushindi bila kuruhusu goli
takwimu zinadai kuwa makipa wa Yanga Diarra na Mshery wana Clean sheet 15 na 12
jumla unapata clean sheet 27
hata hivyo Yanga haina Clean sheet 27, Yanga ina clean sheet 22 tu
kuna mechi 8 Yanga imeruhusu magoli
Nakumbuka ni...
Mayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele.
Na ndiyo kisa cha TFF kutengeneza kombe baya ili tu tuchekwe.. hii yote ni sababu Karia ni Simba. Hizi ni hujuma. Kwa nini watufanyie hivi...
Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu.
Hebu chekini hapa.
Hakika hii ndio klabu kubwa Afrika mashariki na kati, pengine Africa kwa ujumla....
Kongore wananchi..... 💪💪💪
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top form wakati Yanga wanachukua walioachwa Simba . Timu kubwa haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki mchezaji...
Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935?
Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana.
Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari.
Naomba sana yanga ialike timu...
Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana.
Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga.
Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize.
Hongera sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.