Tujuzane mechi zilzobaki kwa Yanga na Simba

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Wakati Yanga akihitaji point nne tu kutangaza ubingwa huku ikibaki michezo mitano kukamilisha ligi kwa timu zote mbili, ninependa kujua timu zilizobaki kucheza na Yanga na zile zitazocheza na Simba.
 
Yanga kabakiza hizi

e.jpg
 
Yaani kwa Yanga hii ikose point 4 kweli katika mechi 5 zilizobakia! Tuwe tu wa kweli, Yanga ndiyo Bingwa msimu huu! Na uzuri wachezaji wote, benchi lao la ufundi na viongozi wao wanatambua fika mashabiki walimiss sana ubingwa.

Hivyo hawawezi kutuangusha.
 
Sisi ni wachawi, tutaloga tupindue mitazamo yenu!
 
Back
Top Bottom