Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira? Wanashida gani, kwanini wasibaki mashabiki?
Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na CHADEMA...
Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC.
Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye akatudindia na gap likaendelea kuwa la alama (points) tano (5). Na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa...
Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa kwa sasa Klabu ya Yanga imejipanga vyema hasa kwa upande wa Propaganda muwe mnaelewa/mnatuelewa.
Ukweli ni kwamba Yanga SC siyo wapumbavu kama labda ambavyo tunaweza kudhani kwa wao kuikuza hii 'Unbeaten Record' yao katika Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania...
Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani.
Mimi naanza hivi:
Yanga = Kenya
Simba = Tanzania
Azam = Uganda
Karibuni.
Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa.
Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na...
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
.
Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
.
Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc.
.
Karibuni Wakuu.
=======
01' Mtanange umeanza Benjamin...
Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC?
Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa...
Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri.
Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita.
Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili.
Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi kufuatia usajili wa Kisinda.
TFF ilihalalisha kucheza kwa...
Yanga kupitia 'Yanga Sc app' imesisitiza kuwa Kocha Nabi anaendelea kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Hii ni tofauti na uvumi uliosambaa leo hii kuwa timu hiyo inaachana na Nabi.
Katika taarifa ya Yanga, wananchi wametakiwa kufuatilia habari za klabu yao pendwa kupitia vyanzo rasmi pekee...
Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii.
Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI.
Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke
Anaandika Jemedari Saidi
Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote.
Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa...
Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.
Aziz Ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani...
Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.
Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia...
Nili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect.
Naona leo Moloko ametangulizwa kuingia uwanjani.
Hii ni ishara nzuri sana , lakini Mzee wangu. "Nzee"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.