Hivi kuna goigoi wa akili anawaza kabisa kuwa leo Yanga SC itafungwa na Geita Gold FC kule CCM Kirumba?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,874
Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC.

Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye akatudindia na gap likaendelea kuwa la alama (points) tano (5). Na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa nasema kuwa hata msimu huu Yanga SC wanaenda kuwa mabingwa tena.

Imeisha hiyo!
 
Uzembe wetu na Kufungwa Kipumbavu na Azam FC Juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Yanga SC.

Na hata Kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC nae akatudindia na gap likaendelea kuwa la Alama ( Points ) Tano ( 5 ) na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa hata Msimu huu Yanga SC wanaenda kuwa Mabingwa tena.

Imeisha hiyo.....!!!!!!
Buriani Geita Gold
 
Wewe ni mamluki tu,unaipenda simba kinafiki ikiwa inashinda ikifungwa unajifanya mtabiri,si uchague moja uwe uto unawaona wamepatia maisha then uache kuwatuhumu wananunua mechi kama ile ya juzi uliyotabiri ingeisha kwa 2-0
 
Wewe ni mamluki tu,unaipenda simba kinafiki ikiwa inashinda ikifungwa unajifanya mtabir,i si uchague moja uwe uto unawaona wamepatia maisha then uache kuwatuhumu wananunua mechi kama ile ya juzi uliyotabiri ingeisha kwa 2-0
Yani akiandika fact ndio anageuka mamluki?

Hizi ni akili za wapi?
 
Uzembe wetu na Kufungwa Kipumbavu na Azam FC Juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Yanga SC.

Na hata Kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC nae akatudindia na gap likaendelea kuwa la Alama ( Points ) Tano ( 5 ) na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa hata Msimu huu Yanga SC wanaenda kuwa Mabingwa tena.

Imeisha hiyo.....!!!!!!
Uchoyo wa Okra mechi ya Yanga, uzembe wa Israh mechi ya KMC vitaendelea kuitafuna simba mpaka huu mzunguko uishe
 
Uzembe wetu na Kufungwa Kipumbavu na Azam FC Juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Yanga SC.

Na hata Kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC nae akatudindia na gap likaendelea kuwa la Alama ( Points ) Tano ( 5 ) na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa hata Msimu huu Yanga SC wanaenda kuwa Mabingwa tena.

Imeisha hiyo.....!!!!!!
Buriani Geita Gold
 
Uzembe wetu na Kufungwa Kipumbavu na Azam FC Juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Yanga SC.

Na hata Kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC nae akatudindia na gap likaendelea kuwa la Alama ( Points ) Tano ( 5 ) na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa hata Msimu huu Yanga SC wanaenda kuwa Mabingwa tena.

Imeisha hiyo.....!!!!!!
Kwahiyo unataka Simba isifungwe kabisa? Kwani Azam unawachukuliaje mkuu,

Ivi fedha alizochukua yanga mwaka Jana kwakuwa bingwa wa ligi kuu, zilikuwa kiasi gani ukilinganisha na alizochukua Simba kwa kuvuka group stage? Just nauliza kufahamu
 
Wewe ni mamluki tu,unaipenda simba kinafiki ikiwa inashinda ikifungwa unajifanya mtabiri,si uchague moja uwe uto unawaona wamepatia maisha then uache kuwatuhumu wananunua mechi kama ile ya juzi uliyotabiri ingeisha kwa 2-0
Huyo dogo hajawai kuwa shabiki wa Simba Wala hata mpira wenyewe haujui, ni shabiki maandazi tu GENTAMYCINE
 
Unatetemeka tu, Simba akishinda goli nyingi utakuja na uzi mwingine uwasifie..

#popo
 
Back
Top Bottom