yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Yanga watahukumiwa na kupigwa adhabu kali; hawapindui meza wala hawatoboi!

    Yanga wako nje kwa dhamana katika mechi ya kimataifa, kombe la washindi. Hukumu itakua siku ya Mechi ya marudiano nchini Tunis. Hapa Yanga watahukumiwa na kupigwa adhabu Kali. Hawapindui meza wala, Hawatoboi. Kitu pekee wanachotakiwa kufanya ni kuandaa pesa ya faini na kutangaza kutokwenda...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? 😂😂😂😂
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

    Nilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ya Club Africaine kama akifungwa au akitoka Sare na asiponaswa hapo anaenda Kuchinjiwa mazima kwa Matokeo ambayo anaenda kuyapata Jijini Tunis nchini Tunisia katika Mechi ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  5. Frustration

    JamiiForums Tanzania Marefa wetu ndiyo wanaiponza Yanga kimataifa

    Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Simba Queens iende kucheza na Club Africain badala ya Yanga

    Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

    Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ambangile: Yanga ni kama vile walishtukizwa kwamba leo kuna mechi

    Hii mechi unaanza kuichambulia wapi hasa kwa upande wa Yanga ? Maarifa hakuna , wapo slow sana , hakuna ubunifu , pasi zisizo na ufanisi , ni kama vile walishtukizwa kwamba leo kuna mechi na nafikiri hata Club Africain hawakuamini macho yao jinsi gani wamerahisishiwa mechi ✍🏻Shape yao ile ile...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Yanga wamedhoofu, ni kama wao ndio wapo ugenini wanakatisha tamaa!

    Wanavyocheza yanga nikama tayari wameshapata goli nne, kama wasiposhinda goli 3 leo ndio basi tena!
  10. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Dini ya Simba na Yanga inavyodhoofisha maisha ya Watanzania

    Inasikitisha na kushangaza sana. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru,nchi ambayo inasemekana tuna utajiri wa maji kuliko nchi yoyote ukanda huu wa maziwa makuu na pengine Afirka nzima,leo tunajadili swala la mgao wa maji.Tena Kuna wengine wameenda mbali zaidi kwa kuandika makala za kuwasifia Waislamu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ama itafungwa au hata kutoka Sare na Club Africaine Kesho, tayari Kocha Nabi ameshatoa Utetezi Leo

    "Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC. Chanzo: Spoti Leo ya Radio One...
  12. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Yanga wakitumia angalau nusu ya Nguvu wanayotumia Wakicheza na Simba basi watunisia wanatoka!

    sina mengi , Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba, Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi! Kama Kuna ahadi , au mambo yanafanyika yanga inapoelekea kucheza na simba basi yakifanyika nusu yake tu, Game inaisha Kwa mkapa...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga ilikuwaje wakaitwa Kandambili na Pan Africa wakaitwa Raizoni?

    Mpaka leo wachora katuni hutumia picha ya Kandambili kuwakilisha timu ya Yanga. Nakumbuka ni utani kati ya Yanga na Pan African, ndiyo ulileta jina la Kandambili Yanga na Raizoni Pan African. Raizoni ndiyo vilikuwa viatu vya maana sana zama hizo, na Kandamimbili zilikuwa zinavaliwa na watu...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

    Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema... Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5. Mtanisamehe tu,ila...
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga sc kama mnataka tumpige mwarabu nyingi jumatano rekebisheni hapa

    Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa. Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi? Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi aambiwe ukweli Yanga kuna wachezaji mizigo

    Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki Bora namba 3 akiaminiwa na kupewa mechi Football ni namba mpaka sasa ana assist mbili ni beki gani...
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Makambo na Kisinda wanasubiri nini Yanga?

    Mimi siyo wa kulalamika but nimefatilia uchezaji wa MAKAMBO na KISINDA kwa msimu huu hakuna kitu wanaisaidia timu bora wapelekwe hata Simba SC kwa mkopo. Ni kweli sisi ni unbeaten, Tunaongoza ligi,tunaongoza kuwa na furaha,tuna jezi nzuri Afrika. Lakini nataka kujua hawa watu wana mchango gani...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu hapa uhalali wa goli la Yanga dhidi ya Geita

    Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa. Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch. Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji. Makosa yanaweza kufanywa na kocha (kwa kupanga kikosi vibaya au kufanya sub isiyo merit) Makosa yanaweza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sanifu Lazaro, Thom Kipese na Said Mwamba Kizota walikuwa wananikonga moyo Yanga ikicheza miaka 90's

    Hawa jamaa waliujua mpira bana. Maana kama ni wingi ya kushoto au kulia ilikuwa lazima mtu akae. Nilikulia jirani na mitaa ya Ghana Mwanza na hapa ilikuwa karibu na CCM Kirumba. Hawq jamaa walijua kutafuta magoli. Waliujua mpira.
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

    Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo. Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
Back
Top Bottom