yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru mechi ya Simba na Yanga imeisha muda huu, Yanga tumeshinda tena Allahamdulilah

    Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustadhi wetu amekuja kumaliza mchezo. Wana Yanga tambeni, huu mchezo tumeshashinda. Tunashukuru...
  2. chongoe

    JamiiForums Tanzania naombeni mnipe orodha nzima ya majina ya wachezaji wa Yanga

    nina jambo nataka fanya kabla sijaondoka Mafia!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muuza Kangala nimesafiri mpaka Dar kushuhudia mtananange kati ya Simba na Yanga. Nazuiwa kuingia na bastola wakati Dar sio mahala salama kabisa

    Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Danger Alert: Simba Queens 2 - 0 Yanga Princess

    Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
  5. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Simba wameamua kupuuzia mechi na Yanga? Hili jambo nalo pia linatutesa sisi Yanga

    Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu. Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana, jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa, anaona kama jamaa...
  6. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

    Habari wakuuu. Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau. Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini. Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga??? Hizi timu TFF. Bodi ya ligi. Hata...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

    Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa? Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki angefanya vizuri ikwa angesajiiwa Simba SC, Yanga wanacheza mpira wa hovyo

    Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa kitaalamu na wenye ubunifu ni Simba SC. Hivyo usahili wa Ki hapo Yanga haujaleta matokeo kulingana na...
  9. Ahyan

    JamiiForums Tanzania Tarehe 23.10.2022 Siku ya Jumapili Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko pale!

    Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1. Lakini uhalisia ni Yanga 3 : Simba 1. Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko paleeee!
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo mchezaji anayebeba nyota ya mafanikio ya Yanga

    Katika ulimwengu wa roho kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea ni kitu kimoja tu nacho ni "Ini". Ndiyo, ini ndiyo kitu pekee kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea (katika ulimwengu wa roho). Maana yake ni kwamba, kama kuna kiumbe ambacho kwa muonekano wa nje kina sifa zote za kuwekwa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imewahi kula 6-0 na Raja Casablanca, Historia kujirudia

    1 ASEC Mimosas 6 10 4 13 2 Manning Rangers 6 9 6 10 3 Raja Casablanca 6 12 7 8 4 Yanga 6 5 19 2 J BI BE PTS 1 ASEC Mimosas 6 10 4 13 2 Manning Rangers 6 9 6 10 3 Raja Casablanca 6 12 7 8 4 Yanga 6 5 19 2 Kwa vile wenzetu wanapenda kuishi kwa historia, leo naleta...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe ongeza uchangamfu ukiwa unaongea redioni

    Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa hivi hivi baada ya Yanga kutoka kwa Rivers United

    Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kariakoo Derby yawaleta Africain Bongo

    Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC mapema kuhusu kujidanganya kuwafunga Club Africaine katika CAFCC 'Knockout Stage' kwa Mkapa

    1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga. 2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga...
  16. luangalila

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wenzangu wa Yanga tusikubali tena makosa ya kuaminishwa vitu vya ajabu ajabu

    Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu. Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia ni timu ya kawaida kawaida.
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

    Declaration of interest. Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu. Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja. Jambo lolote...
  18. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

    Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo. Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho. Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022. Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa...
  20. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

    Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa 2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa...
Back
Top Bottom