yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

    Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnyonyaji 'Panjuani Kibyongo' anatudanganya kaweka 20B halafu tunasajili akina Kapama na Okwa na tunataka kushindana na watu makini kama Yanga SC?

    Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo. Hivi kweli mtu aweke Msimbazi 20B ndiyo tusajili takataka na mizigo akina Kapama na Okwa? Yaani 20B iwekwe...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

    Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
  4. Tango73

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wapenzi wa Yanga acheni kumpangia kocha timu!

    Mwaka huu ni mwaka wa Yanga nyumbani na kimataifa! kitu kimoja kinachonikera sana ni ile tabiatimu ya wapenzi wa yanga kutaka kocha afanye watakavyo. Kocha Nabi aliisha jifunza kupoteza mechi na al hilal kwa kufunguka mapena mchezoni na kuruhusu goli lililotutoa makundini mwa klabu bingwa ya...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga imewapa somo wachambuzi wetu

    Mpira hauchezwi kwenye vyombo vya habari, unachezwa uwanjani. Maneno hayachezi mpira, chuki na mahaba ya mtu havisababishi timu kushindwa au kushinda. Yanga imewafundisha watu somo hili la weledi. Sasa hivi wachambuzi wote wamenyooka kama rula, wameanza kuamini kama mpira ni sayansi, mpira ni...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga | Ligi kuu NBC | Liti

    Baada ya vibe la kombe la dunia huku Argentina akiwa haamini macho yake, ligi kuu Tanzania Bara leo inarejea. Kuwa nami nikujuze yanayojiri kutoka kwenye dimba la Liti mkoani Singida. Dodoma Jiji wamejigamba leo wanaenda kuuvunja mwiko na hamna mtu atasimama dakika ya 46 kushangilia unbeaten...
  7. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Singida ni FIXED MATCH

    Katika maisha yangu ya kuangalia mpira sikuwahi kujua matokeo ya mechi yanapangwa vipi Hadi nilipoangalia mechi ya Taifa Stars na Uganda pia na ile ya Jana ya Yanga na Singida THE MATCH WAS TOTALLY FIXED Dario Federico haja-dribble past hata Mara moja Deus Kaseke kapoteza pasi zote Bruno...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala ubora wa Yanga uheshimiwe kwa sasa vinginevyo timu nyingi zitaumia

    Naona kuna baadhi ya mashabiki ambao wao chuki na husda ndiyo wameviweka mbele, badala ya kuangalia mambo ya kuujua mpira. Hata kama unaichukia timu fulani kwa sababu zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli na hauwezi kubadilika. Yanga kampiga Singida goli 4 lakini kuna wale watu wa umbumbuni...
  9. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Ama hakika Yanga kwa Ligi ya ndani imeshindikana, Azam ndiyo mpinzani wake kwa sasa

    Wakuu leo tumeshuhudia Yanga akitandaza soka lake akiwa imara, pale kati Fei, Bangala na Aucho. Ama hakika Yanga hii kwa ligi ya ndani imeshindikana, mengi yatasemwa ila ukweli utabaki palepal; Yanga ni bora kwasasa.
  10. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Yanga ihamishiwe La Liga, hili soka siyo kiwango cha Ligi ya Bongo

    Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili. Ni wakati muafaka wa...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo. Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaodhani leo Singida Big Stars FC ataifunga Yanga SC kwa Mkapa poleni sana

    Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba. Imeisha hiyo.
  13. Execute

    JamiiForums Tanzania Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

    Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana. Diarra alipangua penati ile nyepesi.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga yajikita kileleni kwa mechi 46 bila kufungwa

    Klabu ya Yanga imerejea kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa pointi 23 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Bao pekee alilofunga kinda Clement Mzize dakika ya 18 ni la kwanza kuifungia Yanga kwenye mechi za...
  15. Mtini

    JamiiForums Tanzania Nabi na Yanga wamefanya wameleta mtazamo tofauti na uliozeleka africa

    Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti na timu za ulaya. Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

    Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9. Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila Yanga ikifungwa tu kelele zinaanza. Yanga ndio...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kagera sugar mmeshindwa kuifunga Yanga leo ikiwa imechoka basi Yanga itaendelea kuwa unbeaten mpaka mwisho

    Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa na kushinda kikubwa cha muhimu leo ilikuwa ni point 3 na zimepatikana ashukuriwe Mungu. Pongezi sana...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ratiba hii ya Yanga, TFF Ina jambo lake kwapani

    Je, ilikuwa ni lazima Yanga icheze na Kagera sugar jumapili mwanza? Kwanini mechi isingesogezwa hata kwa siku mbili?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

    Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yanga imeifunga Club ya Tunisia, ambayo inashiriki kombe la Dunia, Malawi na Angola hazijawahi

    Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya ndani. Tofauti kabisa na timu za taifa za nchi...
Back
Top Bottom