Wakati Feisal akiwaaga wachezaji wenzake, mashaabiki wa Yanga, na uongozi kwa ujumla, Yanga wameibuka na madai mazito.
Habari hii hapa:
KLABU ya Yanga inapenda kuujulisha umma na Wanachama wa Yanga kuhusiana na taarifa za mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah zinazoenea katika mitandao ya...
Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga.
Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey.
Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara...
Sakata la Feisal na Yanga linaendelea kupamba moto. Bahati mbaya hizi timu za Simba na Yanga zina maujinga sana. Ndio maana utaona kila siku zinakuwaga na habari za wachezaji waliowakariri. Utasikia Manzoki, Miquisone kila timu inawataka. Hamnaga scouting timu za maana?
Hivi sasa nasikia Yanga...
"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
Kazumari kamwaga unyunyu jamani. Ebu tujadili huu mkataba wa Feisali.
Kwanza ni KWELI pasi na shaka yoyote kwamba Feitoto amewapa NOTISI klabu yake ya Yanga SC ya kuvunja mkataba nao.
Feisal alikuwa na mkataba na Yanga SC (ambao BIN KAZUMARI imeuona) uliosainiwa tarehe 10 Agosti 2020 ukichukua...
Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani.
Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi msimu mzima? Jibu ni HAPANA.
Yanga anaweza poteza point hata 6 walingane na simba lakini bado...
Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira.
Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka Singida big stars atatufaa sana.
Hasa ukizingatia tunaelekea kwenye michezo ya makundi Shirikisho CAF.
Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu.
Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu.
Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto, timu yenu ni Kama Ihefu tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi.....
Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi.
2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi......
Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
Hakuna kitu kibaya kama imani, yanga wamejiaminusha kuwa jezi nyeusi ndio yenye bahati kwao.
Sasa kimbembe ni jumapili dhidi ya Azam fc, Azam wanasema watavaa jezi nyeusi, ikumbukwe mwenyeji wa mchezo yeye ndio huchagua atavaa jezi gani.
Ngoja tuone hii vita ya jezi itaishia wapi, ila yanga...
Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo
Mchezo umeanza
5' Coastal wanaonekana kuwa makini
10' Kasi ya mchezo siyo kubwa
12' Matokeo bado ni 0-0
15' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi
27 Azizi Ki anapiga shuti kutoka nje ya 18, linapaa juu
28'...
Nilikuwa miongoni mwa watu wanaorushwa roho kwenye you tube na mitandao mingine nikitafuta habari za kweli za Yanga. "Wahuni" walikuwa wanabandika picha nyingine, maandishi mengine na habari tofauti kabisa, au wanatoa habari za tetesi za kijinga kabisa zilikuwa zinamaliza bundle langu bure. Sasa...
Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano.
Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Africa, Simba na Yanga mchana huu watakuwa wakifuatilia droo ambapo makundi yatapangwa.
Droo hii itaanza saa 8:00 kwa masaa ya hapa nyumbani. Hivyo karibu jukwaani ujue nani kapangwa na nani?
Droo itakuwa live...
Nafikiri ubora wa timu unaangaliwa pia na upana wa kikosi chenye wachezaji wanaoweza kutoa ubora ule ule walionao wachezaji wanaoanza kikosi cha kwanza, Yanga wameonyesha ni timu yenye kikosi kipana kisichomtegemea mchezaji mmoja kupata matokeo.
Wameonyesha hilo kwenye mechi za ligi tofauti na...
90' Mwamuzi anamaliza mchezo
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi
Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga
82' GOOOOOOOOOOO
75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga
66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili.
Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya kufika fainali na hata kuwa mabingwa ni Argentina.
Full Time, Yanga inashinda 1-0.
Fei Toto anaipatia Yanga goli
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi
87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango
85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona
80'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.