Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,039
35,922
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.

TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom