yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. A d o l f

    JamiiForums Tanzania Yanga yafanya maajabu Tunisia

    Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0 klabu ya Club African. Yanga ilipata ushindi wake mnamo dakika ya 79 kupitia kiungo mshambuliaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba jiandaeni kuotesha kichaka kingine cha kujifichia dhidi ya Yanga

    Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko. Sasa ni dhahiri shahiri kichaka hicho kinaanza kufyekwa taratibu na kitafyekwa kabisa siku siyo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani anabisha kuwa kupambana hadi ushindi wa Yanga SC jana kulichangiwa na kubezwa mno na mashabiki wa Simba SC?

    Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi...
  4. vibertz

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli mbali mbali zilizoletwa humu wakati Yanga akipangiwa Club African

    Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar es salaam. Weka hapa kauli unazokumbuka. Mimi nakumbuka, Walisema safari ya Yanga kimataifa imeishia...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

    Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naiona Super Cup ya Yanga vs Mamelod Sundowns hapo mwakani

    Kwanza kabisa kama ikiwapendeza FIFA kwa mwaka huu World Cup isifanyike maana wananchi washamaliza burudani yote. Hivi tutarajie kuona nini kingine kutoka kwa kina Messi, Neymar, Mane, De Bruyne ambacho hatukukiona jana pale Tunisia? Nitajie kimoja tu? Twende kwenye mada husika. Nimeangalia...
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni makolo, kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie

    Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC na Azam FC tafuteni haraka Makocha wapya, Nabi tuliyekuwa tunamngojea atimuliwe Yanga SC jana mmeshamkosa

    Najua mlikuwa mnalificha hili ila kwa wadadisi na wachunguzi wabobezi wa masuala mtambuka nchini Tanzania, Rwanda na Uganda, akina GENTAMYCINE tuna taarifa za uhakika kuwa wote Simba SC na Azam FC mlikuwa mnavizia sana na hata kuombea Yanga SC jana ifungwe na Club Africaine ili Kocha Nabi...
  9. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Yanga hongereni kwa mpira ule, nusu fainali ni yenu

    Mimi mnyama bila kuficha ila kwa pira lile la jana pale Stade Olympique de Radès Yanga dhidi ya Club Africain, naiona nusu fainal yao kabisa, tena wakizubaa anabeba ndoo. Kule Shirikisho pepesi hakuna wakazaji sasa kama kule. Hongereni. The Future is Bright.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

    Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda niwamwagie salamu za pongezi timu ya Yanga SC, viongozi na mashabiki wake kwa ujumla kwa kufanikiwa...
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga mmejipambanua vyema

    Kwa matokeo waliyoyapata Yanga jana na aina ya mpira waliocheza ni wazi sasa Yanga baada ya misimu 2 mbele itakua katika daraja moja zaidi ya mtani wake Simba katika michuano ya Kimataifa. Yanga itanufaika zaidi kwasababu mchakato wake wa mabadiliko ilikwisha kamilika hivyo ni jukumu la...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, wana Yanga SC baada ya Kufuzu hatua ya makundi CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la 'Losers'?

    "Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara. Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Combine ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora

    Tuanze na first eleven za timu zote mbili. Barca; Kipa - Valdes. Mabeki - Abidal, Mascherano, Pique, Alves. Viungo - Bosquet, Iniesta, Xavi. Washambuliaji - Pedro, Villa, Messi. Upande wa Yanga; Kipa - Diara. Mabeki - Kibwana, Lomalisa, Job, Bangala. Viungo - Sure boy, Aucho, Feisal...
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Yanga ndiyo timu inayocheza mpira mzuri barani Afrika

    Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi na kucheza kaunta attack. Mtihani wa benchi la ufundi kwa sasa ni kuja na mbinu za kuwafunua...
  15. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kuhusu Yanga na Kombe la Shirikisho

    Yanga ndiyo timu ya kwanza kuingia makundi Klabu Bingwa mwaka 1998 na pia timu ya kwanza kuingia makundi Kombe la Shirikisho mwaka 2016. Yanga ndiyo timu ya kwanza kufika hatua ya nane bora Kombe la Shirikisho Yanga ndiyo timu iliyoingia makundi mara nyingi Shirikisho 2016, 2018, 2022, kisha...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina furaha kuwa baada ya Yanga SC Kufuzu CAFCC atakayejadiliwa zaidi Jamiiforums ni GENTAMYCINE na siyo Mwingine

    Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta Kubwa ya Kujitengenezea Mjadala na niwe Mjadiliwa Mkuu wa Matukio Kinzani hapa Jamiiforums. Watu tokea Saa 4 Kamili Usiku huu baada ya Mechi ya Yanga SC na Club Africaine kumalizika Akili zao zote zilikuwa ziko Jamiiforums na hasa hasa Kwangu Mimi...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

    Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia. Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta kiini cha ajali ya ndege ya watu majuzi na waliosababisha, kwani kwa ndege kama ile, tena...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga mmetoa kafara gani kupata ushindi huu?

    Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu. Swali langu, ni damu gani mmemwaga kupata ushindi huu?
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Simu ya Nabi kwa Mgunda leo asubuhi yaipeleka Yanga makundi ya Shirikisho Afrika

    Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
  20. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Unatarajia Yanga atapigwa goli ngapi leo?

    Mimi naziona kabisa goli tatu. Tena goli la kwanza litapatikana ndani ya dakika 15 za kwanza. Tupe utabiri wako
Back
Top Bottom