Yanga imeifunga Club ya Tunisia, ambayo inashiriki kombe la Dunia, Malawi na Angola hazijawahi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,725
18,620
Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya ndani. Tofauti kabisa na timu za taifa za nchi kama Nigeria, Cameroon, Ivory Coast ambao wanacheza Ulaya.

Wachezaji wengi wa Club Africain wanaunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tunisia inayoenda kushiriki Kombe la Dunia.

THINK ABOUT THAT!

Na hii ndiyo hufanya klabu za kutoka nchi za Kiarabu kuwa bora na kutawala michuano ya Klabu Bingwa Afrika tofauti na timu kutoka Ivory Coast au Nigeria.
 
Yanga imeifunga club kutoka Tunisia ambayo inashiriki kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON
Na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya
Tutajie wachezaji wa Club Africain wanaochezea timuya Taifa ya Tunisia
 
Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya ndani. Tofauti kabisa na timu za taifa za nchi kama Nigeria, Cameroon, Ivory Coast ambao wanacheza Ulaya.

Wachezaji wengi wa Club Africain wanaunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tunisia inayoenda kushiriki Kombe la Dunia.

THINK ABOUT THAT!

Na hii ndiyo hufanya klabu za kutoka nchi za Kiarabu kuwa bora na kutawala michuano ya Klabu Bingwa Afrika tofauti na timu kutoka Ivory Coast au Nigeria.
Yule ndugu yenu aliyewabatiza kwa jina la UTOPOLO hakukosea.
 
Kwa hilo goli moja hebu msituchoshe jamani
Uumbwaji wote wa watu duniani tofauti na Adam na Ever ni matokeo ya goli 1, usijidharau Kalpana, sababu wewe ni lile goli lililoshinda magoli mengine kwa mbio kukimbilia mfuko wa uzazi kuumbwa kijusi kupitia lile yai la Mama yetu...
 
Tutajie wachezaji wa Club Africain wanaochezea timuya Taifa ya Tunisia
Screenshot_20221111-163808_Samsung Internet.jpg
 
Uumbwaji wote wa watu duniani tofauti na Adam na Ever ni matokeo ya goli 1, usijidharau Kalpana, sababu wewe ni lile goli lililoshinda magoli mengine kwa mbio kukimbilia mfuko wa uzazi kuumbwa kijusi kupitia lile yai la Mama yetu...
Haya bana 😀 😀
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom