yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ndio vinara wa kufuatiliwa mitandaoni kulingana na mtandao wa X

    Baada ya tu kupangwa Kwa makundi ya CAF CL kuna kitu Cha kushangaza kulitokea katika matandao wa X Ukiingia katika ukurasa rasimi wa CAF wa mtandao wa X,katika makundi yote yaliyopostiwa,ni makundi mawili tu yanayoshiriki klabu bingwaa Afrika ndiyo yaliyoongoza Kwa kutoa namba kubwa ya online...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CEO Yanga: Tutaionyesha dunia ukubwa na ubora wa Yanga

    “Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly. Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu” @andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Head to Head: Yanga kashinda mechi moja tu katika michezo sita iliyopita dhidi ya Al Ahly

    Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly. Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly. Ikumbukwe kundi la Yanga lina timu zilizoshiba ambazo ni Al Ahly, CR Belouzdad na Madeama ambao ni...
  5. Scars

    JamiiForums Tanzania CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

    Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho . Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Baada ya makundi kupangwa CAF, washabiki wa Simba na Yanga wanaombeana mabaya. Hii ni aibu!

    Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu kubwa mbili za mpira wa miguu nchini, Simba na Yanga. Katika hali ya mpira wa ushindani kuelekea...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Kocha Minziro wa Prisons FC na mwana Yanga SC lia lia nitamshangaa Mtu aliyechukia kwanini Simba SC imeshinda leo

    "Kiukweli Wachezaji wangu hawako Smart Kichwani ( akimaanisha ni Wapumbavu ) kwani kila Siku katika Uwanja wa Mazoezi nawapa Maelekezo yale yale lakini tukija katika Mechi wanayarudia. Niliwaambia Simba SC ina Wachezaji wengi wenye Vipaji vikubwa na Binafsi hivyo tusipokuwa makini Watatufunga na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Draw ya makundi Caf Champions league: Simba ndani ya chungu namba 2, Yanga ndani ya chungu namba 3

    CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao. Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns. Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda. Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga. Pot no. 4: Etuile...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

    Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni? Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulioshangilia na tunaoshangilia Yanga SC Kufungwa na Ihefu FC jana nasi tukifungwa leo tutafute kwa Kujificha hapa JamiiForums

    Na najua ninayeviziwa na kukamiwa vilivyo na nitakoma kama siyo Kuwakoma ni Mimi GENTAMYCINE na baadhi. Ewe Mola bariki Prisons FC afungwe!!
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye 'Mabosi' wana Yanga SC Maofisini mwenu kwa leo nawapeni hili ANGALIZO muhimu na mlizingatie

    1. Hakikisheni mmewahi / mnawahi Kazini Kwenu na ikibidi fanyeni hata zile Kazi ambazo unajua siyo zako 2. Kiwango chako cha Nidhamu Kazini leo kiwe ni cha maradufu 3. Hata kama huwa una Utani nae ila leo usimtanie na jifanye hujui lolote lile 4. Jifanye leo huchangamki ili Kumzuga aone upo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mechi ya Yanga na Ihefu, yalikuwa yamepangwa?

    Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na hivyo mkubwa ukifanya kosa, basi unaweza adhibiwa na ukapoteza mchezo. Kwa mechi ya leo, ukiacha...
  14. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Michezo wamegoma Kuwachambua Yanga SC waipendayo wakisubiria Kesho Simba SC ifungwe ndipo Wachambue Kinafiki

    Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili mshinde (tena Goli nyingi) ili Kuwatuliza Mashabiki wenu na Sisi Simba SC kwa makusudi tutatoka Sare...
  16. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Utani wa simba scna yanga sc special thread

    Nimezunguka humu hakuna thread ya kutaniana hii itatufaa haurusiwi kutukana humu ni matani tu ndo yanafaa na sio matusi
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe leo baada ya Kichapo ndiyo unajua kuwa Ligi ni Marathon?

    "Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo. Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa...
  18. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Ufupi wa Diarra unasababisha Yanga kufungwa magoli mepesi

    Tuliwahi kusema hili, kipa akiwa mfupi ni tatizo sana. Ndio maana ulaya magolikipa wafupi waliofanikiwa ni wachache sana ukimjumlisha Iker Casillas. Huyu kipa wetu Yanga magoli mengi anayofungwa kwa asilimia 98 ni ya juu. Huu ni udhaifu wake mkubwa sana. Yanga itafute kipa mzuri maana huko ligi...
  19. Brightly

    JamiiForums Tanzania Kufungwa leo kwa Yanga kocha anastahilii kupewa lawama zote

    Haina haja ya salamu,Yanga Leo kufungwa ni uzembe wa kocha mkuu wa yanga,. Kufanya rotation ya kikosii ni jambo nzurii kwenye football ila kwa akilii ya kawaidaa ukizingatia ushindanii uliopo kwenye ligi msimu huu unaendaa kucheza na timu kama Ihefu ambayo...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yanga mlianza kwa ngekewa, mashabiki wenu wakawa na jeuri. Kiko wapi?

    Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma” endeleeni kuchonga sasa.
Back
Top Bottom