yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

    Match Day Yanga SC vs Singida FG NBC Premier League Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522] Time: 1815hours Updates... Saa 12:04 Jioni Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa. Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa. Mawingu mepesi mepesi yametanda Vikosi Vinavyoanza Saa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante Kipa wa Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya 'Kujivunja' ili usicheze Mechi ya leo dhidi ya Yanga SC

    Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia. Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda vyema. Kipaumbele pia ni Magoli kuwa mengi kumzidi mwenye Kiporo.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mwili ule wa Kimbaumbau wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kumpeleka katika Oparesheni Kamata Jezi ni Kumhatarishia tu Maisha yake

    Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu. NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi kwa Yanga SC niionayo sasa Kiubora na Spirit ya Wachezaji wake ikibaki hivi hivi Al Ahly FC anakufa Dar na Cairo

    Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni vigogo gani wanatengeneza jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars? Kwanini dola inaogopa kuwachukulia hatua? Wanalipa kodi?

    Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanahangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania? Mbona kwenye bidhaa nyingine watu huchukuliwa hatua kali za kisheria? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hivi karibuni mechi za Simba na Yanga zinafanana?

    Kuna jambo ambalo nilianza kulinotice msimu uliopita. Nakumbuka kuna kipindi ambacho Simba akishinda 4, Yanga anashinda 4, Yanga wakifunga goli kama la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe, Simba wanakuja kufunga goli hilo hilo. Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi za kwanza za Simba vs Power...
  8. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa kanuni ndiyo imekuwa wimbo kwa Simba sasa wamesahau Yanga pia alikosa kubeba ubingwa wa shirikisho kikanuni pia!

    Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao! Kufuzu makundi klabu bingwa kanuni iyo iyo ndio iliyowabeba na kuwanusuru wasitupwe nje ya michuano dhidi...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Al Ahly ya sasa imeshuka sana ubora, si ajabu hata USM Algier walijipigia. Yanga tunaenda kumchapa kwa Mkapa na kwake

    Niseme ya kwamba Yanga ina bahati na kupangiwa timu kubwa ambazo huwa zinapatwa na matatizo, walianza na Tp Mazembe na msimu huu ni Al Ahly Al Ahlu ya sasa ni timu nzuri ila kuna matatizo ndani ya timu, Kumekuwa na habari kwamba kuna migongano kwa upande wa strikers, Yani hats nafasi...
  10. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Epuka porojo, zijue takwimu za Yanga na Ihefu. Yanga iko juu!

    Tafadhali mfuatiliaji na mpenzi wa soka, epuka porojo. Puuza upuuzi unaoenezwa kuwa Yanga, bingwa mtetezi wa Tanzania, ni kibonde wa Ihefu FC ya kule Mbarali Mbeya. Tangu Ihefu ipande Ligi Kuu, imecheza na Yanga mara tano. Kati ya hizo, Yanga imeshinda mara tatu. Ihefu imeshinda mara mbili...
  11. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Katika Kampuni yangu ya usafirishaji nilikuwa na Mfanyakazi muhimu lakini shabiki wa Yanga. Kazini alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri sana. Tatizo lilianza pale nilipoanza kujua kuwa anashabikia Yanga. Huyu jamaa alikuwa yuko tayari kukosana na wafanyakazi wengine sababu ya kubishana mambo...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

    Once mwananchi always mwananchi. Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani. Kwa watu wanao jua kusoma...
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, spirit ya Yanga ya kusawazisha na kushinda haipo Simba

    Leo si mara ya kwanza kwa Yanga kusawazisha na kushinda. Tena kwenye mechi zenye tension kubwa. Waliwahi kufanya hivyo kwa Coastal Union kwenye Azam Confederation Cup. Yanga wakarudia tena katika mchezo na Azam (wa pili kabla ya huu wa leo). Na leo tena wamerudia hilo jambo. Kupambana...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Feitoto kama unataka kurejea Yanga SC rejea tu

    Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto. Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Yanga ni bonge la timu naipenda sana

    Habari wana yanga wenzangu. Kweli yanga tunachukiwa sana,imejizihirisha leo sehemu nilipokuwa nacheki mechi ya yanga na lamba lamba mashabiko wa simba walikuwa wanatukana piga hao mbwa. Si ghafla azizi k akawafunga mdomo,wakakimbia banda kwa aibu,sasa simba kiko wapi? Yanga ni timu ya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Yanga ni mbovu

    Gamondi ball is terrible, 🚮Yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
  17. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    Match Day. Young African Sports Club Vs Azam Football Club. Muda 12:30 Jioni. Benjamin Mkapa Stadium. Ni game kali, yenye kutaka ushindi. Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga? Tukutane kwa Mkapa. Daima Mbele, Nyuma Mwiko. All the Best Yanga. Mchezo umeanza Yanga...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa timu 24 zitakazokuwa kwenye African Footbal League, Yanga haimo!

    Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League. Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana...
  19. S

    JamiiForums Tanzania AL Ahly ataitoa Simba kwenye AFL Yanga atalipiza kwa kuitoa AL Alhy kwenye CAFCL

    Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini. Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly. Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu. Subirini.
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
Back
Top Bottom