Hongera Yanga: Msafara wa Rwanda, Simba mna la kujifunza

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,942
2,251
Igweee!

Naomba niende directly kwenye Point:

Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa vilabu vyetu. Lazima tukubali hili, uwekezaji unaweza ukawa mkubwa lakini kama hakuna hamasa kunakuwa hakuna chachu ya maendeleo.

Niende kwenye Pointi: Tumeona kuna heka heka nyingi sana za Vilabu vyetu pendwa kusafiri kwenda kuunga mkono timu zetu zikicheza michezo yao ya kwanza ugenini. Ndio timu zote zimefanya hamasa kuwa na ya kuvutia na mwitikio umekuwa mkubwa sana.

Pongezi kwa Yanga: Pamoja na yote tumeona hamasa kutoka kwa club ya Yanga! Mwanzo tulizani hawatafanya hili lakini tumeona toka msemaji wao amelitangaza mwamko umekuwa mkubwa sanaa. Kwa hesabu za haraka haraka kuna takribani magari au mabasi 40+ katika msafara kwenda Rwanda.

Ukiliangalia hili ni ugeni mkubwa sana Rwanda, na natumai wao pia watakubaliana nasi. Yanga wamefanikiwa sana katika hili kwa sababu, wanakwenda kuitangaza Club yao Rwanda sana na amini watapata wafuasi/mashabiki wengi sana baada ya hili.

HONGERENI SANA VIONGOZI WA YANGA: Mnaweza msijue impact au brand effect ya Yanga mnayoenda kuiacha Rwanda.
 
Mechi zinachezwa siku moja,ila tutaona mashabiki wa timu gani watakuwa wengi uwanjani.

Yanga wameondoka na Costa nyingi ila nakuhakikishia simba itakuta mashabiki wengi kule na wataweza kuwa wengi hata zaidi ya Yanga
 
yanga wamewini kabisa
 
Umetumia formula gani?
 
Formula ni kwamba Zambia kuna mashabiki kibao tu wa Simba. Ukiacha hilo, Chama na Phiri pale watakuwa home (na kama kuna timu itajifeel home huko ugenini hiyo kesho basi ni Simba) na kuna Wazambia kibao wataingia kuwaona vijana wao hao wawili wakisakata gozi la ng'ombe.
So wenyeji wata waacha timu yao yenye wazambia 20+ kisa kuna wazambia wawili ambao ni opponents?
 
Formula ni kwamba Zambia kuna mashabiki kibao tu wa Simba. Ukiacha hilo, Chama na Phiri pale watakuwa home (na kama kuna timu itajifeel home huko ugenini hiyo kesho basi ni Simba) na kuna Wazambia kibao wataingia kuwaona vijana wao hao wawili wakisakata gozi la ng'ombe.
Duh!
Kama Simba ina Wazambia wawili je Power Dynamos ina Wazambia wangapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom