85% ya Mashabiki wa Yanga SC walioenda Kigali Rwanda wamelala katika Mabasi yao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,127
Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu.

Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba nje ya Mashabiki Kulala ( Kimasikini na Kiuhuruma ) Ndani ya Mabasi Mikweche yao pia hata katika Chakula ni mwendo wa Kugongea tu Chips, Wali Maharage, Ugali Tembele na Maji.

GSM na Rais wa Yanga SC nimewasifu mno kwa Ujanja wenu mkubwa mlioutumia yaani mmepima kwa kufanya Cost Analysis Benefit kati ya Kuwanunulia Tiketi Mashabiki wote wa Yanga SC walioambatana na Timu huko na Kuwalisha Wote kwa hizi Siku Mbili mkaona bora muwalipie tu Tiketi na kwa Kula watapajua Wao kwani hamkuwalazimisha Wasafiri hadi huko wakati Wengi wao wakijijua fika kuwa ni Masikini wa Kutupwa ( Choka Mbaya ) kama Mimi GENTAMYCINE.

Yaani katika Uwanja wa Pele leo ni mwendo tu wa Kupiga Miayo kwa Njaa Kali huku tukiugulia Maumivu ya Kulala kwa Kujikunja ndani ya Mabasi yetu huku Migongo na Magoti vikiuma na Sura zetu kuwa ni za Usununu ( Hasira ) tupu.

Halafu Mchezaji Mstaafu Mnyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima amesema Kujuana isiwe taabu kwani Jana alialika Mashabiki Kumi tu wakale na wakalale Kwake Chumba cha Wageni na Stoo ila ghafka anaona Kundi Kubwa la Mashabiki wa Yanga SC ambao Kipaumbele chao kilikuwa ni kutafuta Sifa tu kuwa Wameandamana na Timu yao hadi Kigali Rwanda ila hawana Hela ya Kula wala ya Kukodi Gesti hivyo Kawakataa na Kawatoa Baru na hivi sasa ( Asubuhi hii ) wanarandaranda tu Mitaani kama Chokoraa wa Mnazi Mmoja na Kisutu.

Na nina Bonge Moja la Exclusive nasubiria leo ama Mfungwe au Mtoe Sare na mkiwa mmekasirika kwa Matokeo ambayo hamkuyategemea nije nayo hapa ili muumie nayo maradufu. Yaani ni mwendo wa Kuwakereni / Kuwakera tu na ndiyo Furaha yangu Kuu na Tukuka Kwenu.

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
angalizo limezingatiwa na wengi kuliko hoja
 
F96DBD47-EBBF-46E5-9CB8-6B48DC497924.jpeg
 
Mbona hii kawaida sana.
Hilo lipo mpaka Ulaya kwenye UEFA.
Ni gharama, usumbufu na karaha kwa shabiki kutafuta hoteli au guest ya kulala nchi ya ugenini wakati amekwenda kwenye vibe la kushangilia mpira.
Kama ni Kawaida mbona sijawahi kusikia popote pale Mashabiki wa Simba SC wanaoambatana na Timu Nje ya nchi Wanalala ndani ya Mabasi yao na Kujambiana hovyo tu achilia mbali Kukoroma hovyo Usiku kama Vyura vya Kihansi?

Acha Kutetea Upuuzi ukweli ni kwamba Mashabiki wenu Wengi walioambatana na Timu Kigali Rwanda walikurupuka kutaka Sifa ila hawakujiandaa Kikamilifu Kifedha / Kimawokoto sawa?

Hao Mashabiki wa huko Ulaya unaowafanyia reference hapa Wao wanalala hivyo just for Fun ila Kula yao ni ya Kitajiri wakati Mishabiki ya Yanga SC iliyoko Kigali imelala ndani ya Mabasi kutokana na Dhiki na hata Kula yao tu ni ya Kugongea ( Msaada Tutani ) huku Wengine wakihangaika kutafuta anakoishi Mchezaji Mstaafu Mnyarwanda Niyonzima angalau wakale tu hata Makombo ya Ugali Samaki aliokula Jana Usiku na Familia yake.
 
Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu.

Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba nje ya Mashabiki Kulala ( Kimasikini na Kiuhuruma ) Ndani ya Mabasi Mikweche yao pia hata katika Chakula ni mwendo wa Kugongea tu Chips, Wali Maharage, Ugali Tembele na Maji.

GSM na Rais wa Yanga SC nimewasifu mno kwa Ujanja wenu mkubwa mlioutumia yaani mmepima kwa kufanya Cost Analysis Benefit kati ya Kuwanunulia Tiketi Mashabiki wote wa Yanga SC walioambatana na Timu huko na Kuwalisha Wote kwa hizi Siku Mbili mkaona bora muwalipie tu Tiketi na kwa Kula watapajua Wao kwani hamkuwalazimisha Wasafiri hadi huko wakati Wengi wao wakijijua fika kuwa ni Masikini wa Kutupwa ( Choka Mbaya ) kama Mimi GENTAMYCINE.

Yaani katika Uwanja wa Pele leo ni mwendo tu wa Kupiga Miayo kwa Njaa Kali huku tukiugulia Maumivu ya Kulala kwa Kujikunja ndani ya Mabasi yetu huku Migongo na Magoti vikiuma na Sura zetu kuwa ni za Usununu ( Hasira ) tupu.

Halafu Mchezaji Mstaafu Mnyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima amesema Kujuana isiwe taabu kwani Jana alialika Mashabiki Kumi tu wakale na wakalale Kwake Chumba cha Wageni na Stoo ila ghafka anaona Kundi Kubwa la Mashabiki wa Yanga SC ambao Kipaumbele chao kilikuwa ni kutafuta Sifa tu kuwa Wameandamana na Timu yao hadi Kigali Rwanda ila hawana Hela ya Kula wala ya Kukodi Gesti hivyo Kawakataa na Kawatoa Baru na hivi sasa ( Asubuhi hii ) wanarandaranda tu Mitaani kama Chokoraa wa Mnazi Mmoja na Kisutu.

Na nina Bonge Moja la Exclusive nasubiria leo ama Mfungwe au Mtoe Sare na mkiwa mmekasirika kwa Matokeo ambayo hamkuyategemea nije nayo hapa ili muumie nayo maradufu. Yaani ni mwendo wa Kuwakereni / Kuwakera tu na ndiyo Furaha yangu Kuu na Tukuka Kwenu.

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.

Ww kiazi ebu leta picha ya wanayanga kulala kwenye mahari

Halafu,FYI hatujaenda kulala kule,tumeenda kutia mtu mimba na kurudi
 
Waende mtaa wa KG 18 Ave, Kigali, Rwanda, kuna malazi ka ya tandale/manzese chumba 10k/20k/30k etc
Huo mtaa una live bands, wanaweza hata wakajifariji usiku kukuche mfano COME AGAIN PLUS Gisimenti
 
Kama kawaida bua bua kazini, ushuxi tu hamna kitu

Kama Hela ya Kula tu hawana na Wote wameamka Asubuhi hii wakipiga Miayo hovyo hiyo ya Kulipia Gesti hizo za Bei Chee huko Ulikowatajia watakuwa nazo?
 
Kina kamwe safari hii wamewapiga chenga ya mwili makolo 😀,wakawazuga kama watasafuri mabus kupenda coaster sote tunajua vibe la kusafiri na coaster mkiwa wengi kwenye hivi vilabu vyetu 😀,makolo wanaumia sana 😀
20230915_220601.jpg
 
Back
Top Bottom