Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga.

Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga.

Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi akiwa Yanga.

List ni ndefu tuendelee…
 
Nteze John .
 
Bila kumtaja Aden Rage hii thread itakuwa haina maana.

Kuna Masimeti, chogochemba, Hamisi Kinye, Charles Boniface Mkwasa, Makenzi Ramadhani, Kitwana Manara, Sunday Manara.....
 
Hapo hakuna hata mmoja, japo Mkwasa aliwahi sajili Simba, lakini FAT ilimuidhinisha aendelee kutumikia Yanga
 
Kama victor Costa alivyowapiga yanga Hela ZAO.........

Victor Costa Nyumba kiboko Yao
 
Itasaisia nini.
Mbona mnaendekeza Simba na Yanga .

Anyway ngoja tukusaidie.

1.JUMA kaseja.
2.Ivo mapunda
3.Amiri maftah.
4.Nurdin Bakari.
5. Jonas mkude.
6. Mrisho Ngassa.
7. OTHMAN Idd chuji.
8.Saido Ntibazonkiza.
Itasaidia kuondoa umbumbumbu wako
 
1. Emanuel Gabriel
2. Alex Masawe
3. Bakari Malima
4. Sirengo
5. Mwameja
 
Sikumbuki filotey,nawakimbuka method na zamoyoni
Zamoyoni Mogella siyo ndugu wa Method Mogella.

Filotey Mogella na Method Mogella ndio wamezaliwa tumbo moja.

Ila Yanga ile Filotey Mogela hakupata nafasi ya kucheza sana kwa sababu kusajili ulikuwa ni nguvu ya kaka yake maana alitoka timu ya daraja la tatu mpaka Yanga ligi daraja kwanza.
 
Back
Top Bottom