Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements.
Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi
Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika...
au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili angalau Weekend hii Taifa lifurahi kwa Vijana wao wa Kariakoo na tusije Kuchekana.
Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana.
Lazima watu watakuwa wanatucheka, wanatushangaa sana. Msikilize mwenyewe ingawa kaongea kwa lugha ya Kikristo.
Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya?
Mkude kweli Akili hana yaani kama...
"Yanga wamepata bahati ya kukutana na Vibonde tangu msimu uliopita kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani Africa na msimu huu kwenye club bingwa
MSIMU ULIOPITA
YANGA vs Mazembe alikuwa dhofuli hali yanga wakashinda kirahisi tu
YANGA VS Us Monastiry ilikuwa mara yake ya kwanza kushiriki...
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).
Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)
Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.
Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia...
Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo.
Sasa watuambie , miaka...
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee...
Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .
https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.
Zawadi hiyo...
Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja.
Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi.
Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa.
Mpira umefanya kitu ambacho...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi.
Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
Leo Simba na Yanga zimecheza hatua ya pili ya mtoano (klabu bingwa Afrika) zikiwa ugenini, Simba ikitoa sare kwa taabu sana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia na Yanga ikipata ushindi wa kawaida wa goli mbili bila dhidi ya El Merreikh ya Sudan.
Bila kumumunya maneno, ni wazi Yanga na Simba...
Wawakilishi Wa Tanzania katika Michuano Mikubwa Kabisa kuliko Yote inayoandaliwa na CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga na SIMBA zimeweza Kufanya vyema na Kuheshimisha Taifa.
Simba Wakiwa kwenye Kiwanja Cha Levy Mwanawasa Mjini Ndola imeweza Kuituliza Timu ya Power Dynamo ya Zambia Katika...
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.
Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.
Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema.
Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu.
Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko.
Popote kambi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.