yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri NAPE, peke yako tu ndio unaona ghalama za bundle zimeshuka?

    Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka. Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi mfanya chochote. Watanzania wote wanalia na hizo ghalama lakini yeye anatetea zimeshuka. Nape ni...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Linda Afya yako kabla ya kupata magonjwa

    Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya vizuri ndio mtu anaitwa mgonjwa. Chanzo cha afya ni vyakula mbalimbali na kutengeneza kinga za mwili...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kitaleta bahati nzuri au jinsi ya kujua nambari yako ya bahati?

    Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na mafanikio zaidi na kuvutia. Kwa tarehe ya kuzaliwa Tatu - furaha kwa mtu aliyezaliwa siku hii. 1 -...
  4. JamiiForums Tanzania Numerology: Thamani ya tarehe yako ya kuzaliwa

    Chagua tarehe yako ya kuzaliwa kutoka 1 hadi 31 Nambari ambayo ni ya kwanza katika tarehe yako ya kuzaliwa inaashiria msingi, msingi wa kiakili wa utu na inaweza kutuambia kuhusu kile mtu hutoka katika uchaguzi wake. Mmoja anazungumza juu ya watu binafsi, wawili wanazungumza juu ya wanajamii...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maandalizi yako, mafanikio yako

    MAANDALIZI YAKO; MAFANIKIO YAKO Maisha ni mnyororo wa matukio. La leo litazaa la kesho, na la kesho litazaa kesho kutwa yake, hadi mwisho. Japokua sisi tunapita tu, maandalizi yanaweza tupatia mafanikio na maisha ya milele katika kumbukumbu za vizazi na vizazi. Maandalizi ni mchakato wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni mara ngapi huwa unakumbuka kukagua filter hizi za gari yako?

    Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia ambazo watengenezaji magari walitumia katika suala zima la kuifanya gari itumie mafuta kidogo ama...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Siri ya Kunasa Wateja kwenye Biashara yako yafichuka

    UTANGULIZI Mfanyabiashara ni mtu anayeuza bidhaa au huduma katika soko fulani. Mfano soko la mifugo la Vingunguti. Lengo kuu huwa ni kuuza, na kuuza ni lazima apate wateja wanaohitaji bidhaa au huduma yake na wana uwezo wakununua. MAANA YA KUUZA Kuuza ni kitendo cha kubadilishana hisia kati ya...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya yako

    ~~Ini ni kiungo kinafanya kazi kubwa sana mwilini ya kuchuja sumu na damu na kuondoa sumu kutoka kwenye mmeng’enyo wa chakula ili kiende mwilini kufanya kazi. 1️⃣.Ugonjwa wa ini unaotokana na Virusi kama hepatitis A, hepatitis B, na hepatitis C 2️⃣.Ugonjwa wa ini unaotokana na Madawa, Sumu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Moyo wako; Siri ya mafanikio yako

    Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu anatamani kufanikiwa katika maisha. Wapo wanaotamani kufanikiwa kifedha, kisiasa, kielimu, kijamii na hata kiafya. Moja kati ya siri kubwa za mafanikio ni kusikiliza kile moyo wako unachohitaji. Wengi wamejuta kwenye maisha kwa kufanya mambo ambayo yalikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Umechoshwa na Computer yako kuwa nzito? Suluhisho ili hapa

    Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi kuliko mwenye Computer yenye RAM 8 alafu inatumia HARD DRIVE yakawaida. Sio bei kubwa mdau wangu, ni...
  11. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu

    Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664
  13. JamiiForums Tanzania Mapambano ambayo yapo mbele yako

    MAPAMBANO AMBAYO YAPO MBELE YAKO! Anaandika, Robert Heriel Kabla sijaenda mbali, niseme maisha yanahitaji roho ngumu ya ustahimilivu, bila roho ngumu haya maisha yatakutoa Knockout katika hatua za awali kabisa Labda niweke hivi; 1. Kuwa hodari na jasiri. Usiwe muoga oga, kwenye maisha huna la...
  14. JamiiForums Tanzania Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

    Wakuu, Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana. Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe. Facebook Twitter iPhone📱 iPad Android Alibaba Apple App Store Uber Airbnb...
  15. U

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu ya Ulimi (Maneno) katika kuamua hatma ya maisha yako

    Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10). Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mashirika yako vizuri mpaka raha yani

    Kuna NGO nilifanya nao first interview last week kwa njia ya zoom meeting,sasa juzi wakanipigia kuwa leo niende kwa second interview pale ofisini kwao mikocheni. Tulikua mtu kama 8 au 7 hivi kama sikosei.tumepiga interview mpaka saa 7 mchana,sasa kila msailiwa alikua akitoka kwenye chumba cha...
  17. JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie mfumo wa kijiditali wa kuendesha biashara yako

    Karibu tuongee. Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani. Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza rekodi zao za biashara kupitia simu Kwa mawasiliano zaidi tuma email kupitia service@hesabu.app...
  18. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara itakayobadilisha maisha yako baada ya kuchukua maamuzi ya kuifanya

    Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake kuaibisha wanaume wenye maumbile madogo (vibamia), ikiwa ni kaka yako kazaliwa na hivi utajisikiaje?

    Na hii ni matokeo ya utandawazi unaofanya wanawake wa dunia ya sasa kuanza mapenzi wakiwa mabinti wadogo kabisa, hivyo kupelekea kumjua zaidi ya mwanaume moja. Sasa unakuta huwa wakikutana na mwanaume mwenye uume mdogo huwa ni rahisi wao kujua, Kwa hapa kwetu kwa hizi asili zetu za kibantu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…