yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hamdu Shaka, hivi kazi yako haswa ni nini, kumsifia Rais Samia au kuelezea Itikadi ya CCM?

    Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi. Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama ni kama wanakengeuka katika misimamo yao kiutendaji. Alipoingia mzee Abdulrahman Kinana ingalau...
  2. JamiiForums Tanzania Je, na wewe Jumapili yako ya tarehe 16/10/2022 ilikuwa nzuri kama yangu?

    1. Tanzania Simba SC yangu imeshinda na kuvuka (kufuzu) Makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAFCL). 2. Uingereza timu yangu pendwa ya Liverpool FC imemfunga mpinzani mpya Manchester City. 3. Sudan timu inayonivutia ya Al Hilal FC imeweza kuifunga klabu ninayoichukia kuliko hata ninavyomchukia...
  3. JamiiForums Tanzania Unayehoji kwanini Msudani Kafuzu kwa Kukufunga Goli Moja, Wewe Sare yako ya Dar imekuvusha Makundi CAFCL?

    Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
  4. JamiiForums Tanzania Jihadhari na Upatu, ukidhurumiwa hutopata haki yako

    JIHADHARI NA UPATU, UKIDHURUMIWA HUTOPATA HAKI YAKO. Siku hizi limeibuka wimbi kubwa la watu wanaojifanya kuanzisha na kuendesha mpango wa uwekezaji wenye faida kubwa huku wakitumia ushawishi kuwarubuni wengine wajiunge katika mpango huo wanaounadi kwamba ni uwekezaji wenye faida kubwa ndani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako na jinsi utakavyo okoa fedha nyingi

    Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako. 1. Ukijaza gesi ya Tsh. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200. Tsh. 17000 = Km. 200 ? = Km. 1 Km. 1 = Tsh. 17000/200 = Tsh. 85 Kikawaida ukijaza lita moja ya petroli unaweza kusafiri kilomita...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusiana na Siku yako ya Kufa

    Kama akipatikana mtu anayeweza kukuelezea kwa usahihi tarahe,muda na namna ambayo utakufa. Na ukahakikisha kabisa kutokana na watu 1000 plus ambao aliwatabiria na ikwa kweli kwa asilimia 100. Ukapewa wazo nawe uende angalia Hatima yako. je ungependa uende kufahamu utakufaje na utakufa lini...
  7. JamiiForums Tanzania Vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako

    Hivi ndivyo vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako. Kwa kawaida binadamu tumepewa saa 24 tu kwa siku. Huu ni muda ambao kila binadamu amepewa kuutumia kwa kadri anavyotaka. Kwa wale wanaotumia muda huu vizuri wa saa 24 kwa siku matokeo makubwa ya maisha yao huonekana, lakini kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jifunze kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

    Uandishi sio mzuri sana UTANGULIZI Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo za Dunia, kwanin ni ngumu sana kukuta tajiri na ameokoka hata kama unamafanikio kitendo Cha kusema...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni mwamba, kichwa na kiongozi. Kaa kwenye nafasi yako

    Habari wana JF, Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

    Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC. Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

    Salam! Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa: 1. Kuku Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu 2...
  12. JamiiForums Tanzania Inamaanisha nini kumheshimu BABA yako na MAMA Yako?

    Amri inayosema mheshimu baba yako na mama yako,inapatikana mara nyingi katika biblia. (Kutoka 20:12, Kumbukumbu la Torati 5:16, Mathayo 15:4, Waefeso 6:2,3) [ KUTII AMRI HIYO KUNAHUSISHA KUFANYA MAMBO YAFUATAYO:-] 1>-WATHAMINI:-Unawaheshimu baba Na mama yako unaposhukuru kwa ajili ya mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Matukio gani ya aibu ulishawahi kuyafanya au kukutokea katika maisha yako?

    Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika maisha yangu. 1. 2015 nikiwa nasoma kidato cha tano kuna dogo wa Olevel nilimtongoza akaingia kingi...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  17. JamiiForums Tanzania Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

    1. Shikamoo Mama 2. Oya Binti Hujambo? 3. Niaje Wewe Mazeri? 4. Heshima yako 5. Za Kulala na Kuamka Maza 6. Uko poa? 7. Mzima Wewe? Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
  18. JamiiForums Tanzania Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  19. JamiiForums Tanzania Weka mfumo wa malipo unaotumia M-Pesa na Airtel Money kwenye tovuti yako

    Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri. kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka. Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

    Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!! Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!! Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…