Ratiba ya vyakula kipindi cha Ramadhani, leta yako tushirikishane

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Ratiba ya Ramadhani, tushirikishane kwa pamoja, yangu imekaa hivyo,

Day1:
  • Tende
  • Shurba
  • Chapati
  • Maharagwe ya nazi
  • Samaki wa kukaangaa

Day2:
  • Kaimati
  • viazi karai
  • Chapati na Mbaazi
  • Fruit Custard
Day3:
  • Bajia
  • Cutlets
  • Shurba
  • Chapati
  • Viazi vya Rojo
  • Nyama ya kukangaa
Day4:
  • Vitumbua
  • Mchuzi wa keema
  • Kachori, chutney
  • Tambi za nazi
Day5:
  • Ndizi mbichi za nyama
  • Sambusa
  • Uji wa kunde..
Day6:
  • Tende
  • Bajia za kihindi
  • Pilau, salad,ndizi,na pilipili yakukaanga
  • Milk shake
  • Bembe au daku,chai na catles.
Day7:
  • Muhogo wa nazi kwa samakii
  • Bajia
  • Ndizi mkono wa temboo za nazii
  • Juice ya castard
Day8
  • Viazi vya nyama vya nazi
  • Mikate ya maji
  • Mchuzi wa mayai
  • Katlesi
  • Juice ya nanasii
Day9:
  • Sambusa
  • Shurba
  • Viazi vya nazi
  • Mkate wa tambi
Day10:
  • Tambi za kukaangaa
  • Rosti la mainii
  • Mikate ya ajemi ns
  • Kuku choma
  • Egg chops
Day11:
  • Spring rolls
  • Chapati au wali na mchuzi wa kababu,
  • Faluda

Day12:
  • Tende
  • Kaimati
  • Boga la kupaka kwa nazi
  • Ndizi mbichi za nazi kwa utumbo
Day13:
  • Bajia na tende.....
  • Mkate wa ufuta kwa mchuzi wa kababu,
  • Ndizi za kiume
  • Milkshake ya tende
Day14:
  • Tende,
  • Batata chops,
  • Chapoo na mchuzi wa keema,
  • Vibibi
Day15:
  • Tende
  • Sambusa
  • Mkate wa ufuta
  • Mchuzi wa nyama roast
  • Tambi brown za maziwa
  • Custard cake
Day16:
  • Tende
  • Viazi vya karai
  • Sima, Samaki Wa Kukaanga na Mboga.
  • Matobosha Kwa Uji .
  • Desert Mix Fruit With Ice Cream.
Day17:
  • Tende na kahawa
  • Sambusa
  • Mahamri
  • Maharagwe ya nazi na
  • Nyama kavu
  • Fruit salad
Day18:
  • Tende
  • Spring rolls
  • Kahawa
  • Chapati kwa viazi ya nazi ya nyama,
  • Tambi za kukahanga
  • Custard
Day19:
  • Tende
  • Kahawa
  • Sambusa
  • Macaroni ya tuna
  • Mikate ya ajemi
  • Nyegere za nazi
  • Tandoor chicken
  • Badia za kunde
  • Kachori
  • Chutney
  • Tambi.
  • Fresh fruits
  • Juice ya bungo
  • Chai kavu
Day20:
  • Tende na kahawa
  • Sambusa,
  • Katlesi za tuna
  • Pilau ya nyama
  • Salad
  • Juice
  • Chocolate cake na ice cream
Day21:
  • Tende
  • Kaimati
  • Bajia za kunde
  • Mahambri
  • Mbaazi
  • Nyama kavu na
  • Ndizi mbichi
  • Dessert pudding
  • Fruit mango
Day22:
  • Tende
  • Kaimati
  • Ndizi mbichi
  • Njugu mawe
  • Chapati za maji
  • Pweza au ngisi wa kukaanga
  • Custard
  • Sharbati ya rozi
Day23:
  • Viazi karai
  • Tende
  • Pizza
  • Podini
  • Juice
Day24:
  • Sambusa
  • Bajia
  • Mahamri
  • Rojo la viazi
  • Tambi
  • Cake
  • Kahawa
Day25:
  • Katlesi
  • Bajia za kihindi
  • Tende
  • Juice
  • Viazi va nazi
  • Homemade scones
  • Grilled chicken wings
  • Fruit salad
Day26:
  • Tende
  • Viazi va karai
  • Pizza n fries
  • Tambi za brown
  • Juice
  • Caramel
Day27:
  • Kachori
  • Tende
  • Juice
  • Chapati
  • Maini
  • Tambi
  • Ice cream
Day28:
  • Tende
  • Kaimati
  • Burger
  • Fries
  • Mkate wa mayai wa custard.
  • Juice n tea
Day29:
  • Tende
  • Kaimati
  • Mkate wa ufuta
  • Samaki wa kupaka
  • Mtuzi wa kababu
  • Custard
Day30:
  • Tende
  • Kababu
  • Viazi vya nazi
  • Fruit salad
Katika kila kundi unaweza chagua baadhi ya vyakula ukaanda na si lazima uandae vyote, au kama una uwezo wa kuandaa vyote pia sio mbaya.
 
Probably utakua mtu wa mambasa (Mombasa) wao ndio huita maandazi "mahamri" halafu viazi karai ndio vipi hivyo?
 
Ahaa wapi.

Mipango sio matumizi.

Ebu kila siku tuwekee picha hapa.

MASIKINI HANA RATIBA YA KULA YEYE UTAVYOKUJA NDIVYO ATAKAVYOPIGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom