yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mipango ya serikali inayo-trigger 'emergency alarm' na inayotakiwa kutupiwa jicho na jamii nzima

    Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia. Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
  2. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako, Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio. Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha...
  3. JamiiForums Tanzania Kufanya ngono na kila mwamke anaekatiza mbele yako sio ujanja ni kujitafutia mikosi

    ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!! Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini hakuna kitu. Umekuwa na ndoto zako za muda mrefu, unaamini zitakupa sana...
  4. JamiiForums Tanzania Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

    Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari. 2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
  5. JamiiForums Tanzania Ethics/Moral philosophy inaweza kua suluhisho ya matatizo yako

    Wakuu, Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine. NB: mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

    kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe 👎 Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndani😅😅😅 Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahi😍
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  8. JamiiForums Tanzania Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!

    Wanabodi, leo katika viwanja vya Karimjee, Watanzania tunamuaga aliyekuwa Waziri wetu kwa kipindi chote cha miaka 10 ya utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwana Diplomasia nguli, Bernard Cammilus Membe, aliyefariki dunia ghafla, juzi Ijumaa asubuhi. Nilivyomfahamu Membe. Fani yetu ya uandishi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachukulia poa suala la Kelele, hii ni kero, NEMC wametukumbusha furaha yako isiwe kero kwa mwingine

    Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko. Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
  10. JamiiForums Tanzania Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  11. JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  12. JamiiForums Tanzania Kama Mwanamke amekuvutia usiogope kumuonesha nia yako tangu mwanzo

    Usianze kiurafiki alafu baadaye ndo mbadilike muwe wapenzi. Usifiche malengo yako kwa mwanamke aliyekuvutia. Lakini umwoneshe taratibu kama unamuhitaji. Sio ubwage kila kitu mara ya kwanza. Atakuzungusha ukifanya hivyo. Ataona hana cha kuhangaikia. Mwoneshe unamtaka kimapenzi hata bila...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa bango hili maridhiano yako ICU

  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    UTANGULIZI Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha. Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
  15. JamiiForums Tanzania Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

    Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano. 👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo. Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

    Funguka
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi

    Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi Utangulizi Siku zote, mafanikio hayaji kwa bahati mbaya. Lazima uwe na juhudi, bidii na uvumilivu ili kufikia malengo yako na kuzishinda changamoto zote unakutana nazo katika maisha basi nasi kama taifa la Tanzania , nchi na wananchi wake hatuna...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Namna nyingine ambayo kikundi, taasisi au mtu binafsi unaweza kuitumia kukuza biashara yako

    Kila mtu, kikundi au taasisi ni tamanio lake kuona ikikukua kufikia ubora au malengo waliyojiwekea. Namna bora ya kukua ni kutoa huduma au kuuza huduma huku ukiwafikia walengwa katika ubora ule ule. Wengi wetu imani kubwa tulijiwekea ni kuongeza walaji wa bidhaa au huduma zetu ili kuweza kufikia...
  19. JamiiForums Tanzania CEO wa Simba SC tuombe Radhi upesi kwa Kutudanganya leo wana Simba SC katika Interview yako

    Haya baada ya Kutudanganya wana Simba SC (GENTAMYCINE nikiwemo) na Wadau wa Soka / Michezo leo katika moja ya Interview yako kuwa Bonus inayodaiwa na Wachezaji wa Simba SC ni Shilingi Milioni Ishirini tu. CEO wa Simba SC Mimi GENTAMYCINE nakuambia tena Nikijiamini kabisa huku nikiwa na Urafiki...
  20. V

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi yako mwajiriwa

    Ukikubali kuajiriwa lazima ukubali unafanya kazi ili ulipie gharama za uendeshaji ikiwa pamoja na mshahara wako pia umtengenezee faida muajiri wako. Muajiriwa-: Jitahidi Sana kutambua kuwa kadri unavyozidi kujituma kazini ndivyo unavyoongeza thamani yako katika ajira yako. Kujituma kwako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…