Tangu majeshi ya Russia yavamie Ukraine kumekuwa na tuhuma nyingi kutoka kwa Putin na Pro Russia kuwa majeshi ya NATO yamepelekwa Ukraine kupigana. Tuhuma hizo zimeenda mbali zaidi na kusema kuwa NATO inapeleka vifaa vyake vya kivita Ukraine. Rais Putin kila anapoongea na taifa amekuwa akidai kuwa wanapigana na NATO.
Watu wengi wanaofahamu vifaa vya kijeshi vinavyotumiwa na NATO vyenye Technology ya kisasa ikiwemo ndege za kivita, mifumo ya ulinzi wa anga (Air defense systems), vifaru (Tanks), silaha za kurusha mizinga (Artillery systems), silaha za kurusha makombora/Roketi (MLRS) n.k. wamekuwa wakisema kuwa hakuna silaha za kivita zinazotumiwa na NATO ambazo zimepelekwa Ukraine.
Propaganda za Russia/Putin zinapelekea watu wengi ambao hawajui na hawajawahi kuona silaha za kivita kuamini kuwa madai ya Russia yana ukweli. Pro Russia wengi wa huko Tanzania hawajui silaha za kivita zaidi ya magobole, SMG, mabomu ya machozi na magari ya washawasha yanayotumiwa na jeshi la polisi kupambana na machinga na wafuasi wa nyama vya upinzani.
Hata silaha zenye Technologies ya kisasa zinazotumika kupigana, kujilinda na upelelezi hawazijui. Lakini wamekuwa mabingwa wa kubisha kila kitu kwa ushabiki kama wa yanga na simba ya huko nyumbani.
Kwa kuwa Pro Russia wanaamini propaganda za Russia na hasa Putin, naomba watueleze machache tu ili tuweze kujua kama kweli wanaufahamu wa kutosha kuhusu silaha nzito zinazotumika Ukraine kujibu mapigo kwa Russia ambazo wanadai kuwa ni za NATO.
1. Je, ni silaha zipi za kulinda usalama wa anga (Air defense systems) ambazo unajua zinatumika Ukraine ambazo ni za NATO. ? Tutajia aina ya silaha na model plus series yake.
2. Je, ni silaha zipi za kurusha makombora ya masafa marefu (MLRS) na aina ya makombora ambayo yanatumiwa na majeshi ya NATO nchini Ukraine?. Taja aina, model na series yake.
3. Je, ni aina gani ya ndege za kivita zinazotumiwa na NATO ambazo zinatumika Ukraine na aina ya makombora yanayorushwa na ndege? Taja aina ya ndege, model na series yake.
4. Je, ni aina gani ya vifaru (Tanks) zinazotumika Ukraine ambazo zinatumiwa na NATO na zimepelekwa Ukraine?. Taja aina ya kifaru, model na series yake.
Naomba hoja hizi zijibiwe kwa facts siyo porojo na propaganda ili tujue kama kweli wanaosema hivo wanaelewa au wanaogelea kwenye Propaganda za Putin na pro Russia.
Uzi huu unaweza ukawa wa moto kwa wasio na hoja na waliozoea porojo na matusi.
Karibuni