yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema. Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
  2. JamiiForums Tanzania Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  3. JamiiForums Tanzania Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
  4. JamiiForums Tanzania Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

    Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi. Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa...
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    We tuambie budget yako ni shilling ngapi na unahitaji home appliances ipi tuko kwa ajili yako Kwalioko dar es salaam unaletewa mzigo ndo unalipa na mikoani unatuma fedha ndo tunakutumia mzigo. Mawasiliano ya cargo tunazotumiaga wapigie watakuelekeza ofisi zao zilipo kwenye mkoa husika, na bei...
  7. JamiiForums Tanzania Ni channel gani yako pendwa zaidi youtube kwa sasa?

    Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa? https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

    Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza. Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu. Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
  9. JamiiForums Tanzania Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

    1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako 2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni 3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda asema kuwa akipita eneo lako na ukaona umetenguliwa na Rais basi juwa kuwa ni yeye na wala usimlaumu Rais

    Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa amezungumza hayo akiwa Njombe mjini. "Na sisi tukimaliza hii ziara tunampelekea ripoti Mwenyekiti wa chama Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tulipita mkoa fulani...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini. Baadaye ukakana huyatambui. Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
  13. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro kwenye Power Breakfast umekwepa ila ni majukumu yako, nina swali kwako

    Leo nimesikiliza kipindi cha Clouds Power Breakfast lakini kwa jinsi ulivojaribu kulinda heshima ni kweli sio jambo zuri kuwa wazi ni kuchonganisha raia na jeshi la polisi. Lakini swali la kujiuliza ni ili WATU WANATEKANAJE? Kumekuwa na malalamiko ya utekaji kwa kutumia jeshi la polisi au kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Niamini..Usitoe Code ya Biashara Yako...!

    Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote! Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee! Soko Limejaa..nikabaki najiuliza Nikatumia umafia sana nikajua ni yule dem na mumewe Nika mbana...
  15. JamiiForums Tanzania Acha kuishi kwa hofu na wenge, kapime ujue afya yako

    Acha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako... Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine Basi bhana kutokana na iyo Hofu nilikuwa najikuta nakonda kweli na kuumwa hakuishi yaani nikiumwa tu...
  16. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii imekuunganisha na watu gani muhimu waliobadili maisha yako?

    Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?. Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii. Sababu watu wa kada zote na...
  17. JamiiForums Tanzania INTERNET SPEED: Tuone internet speed Yako ya leo

    Aya wakuu, weka picha tuone speed Yako ya internet Leo Tumia FAST kujua speed ya internet inayotumia Mimi naanza👇🏿
  18. S

    JamiiForums Tanzania CPA Habibu Suluo LATRA Mkoa wa Arusha wako juu yako? Daladala za Kikatiti na King'ori zinageuzia Maji ya Chai

    Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa Kikatiti na mengine King'ori. Mnasubiri mpaka wananchi wajichukulie sheria mkononi? Tumechoka na huu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yako anaweza kukuvumilia miezi mingapi bila kumlipa kodi yake?

    Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

    Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV, sukari, pressure, pamoja na homa ya inni na magonjwa mengine kibao. Aisee tutunze afya zetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…