yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PFP PSYCHOLOGY: Diagnosis ya picha Cha profile Mtandaoni. Unataka kujua PFP yako inasema Nini kuhusu wewe?! Pitia hapa

    Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii." Hata hapa jamiiforums kabla yakusoma hoja ya mtu, kabla hujaangalia mada zake, na hata kabla hujajua yuko upande gani wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  3. JamiiForums Tanzania Epuka Watu Hawa 5 Leo Kwa Faida Yako

    Leo ni siku nyingine ya mapambano, na unahitaji kila tone la nishati (energy) na utulivu wa akili ili kufanikisha mipango yako. Lakini kumbuka, watu unaoruhusu wasogee karibu yako wanaweza kukupa mzuka wa kupambana au wakakunyonya nguvu zote ukabaki na unyonge kama simu yenye chaji 2%. Kama...
  4. JamiiForums Tanzania Hudama za ISP tanzania kama Umeweka server yako mwenyewe tanzania ukiunganisha nao.

    Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii. Server zangu nyumbani kwenye mfumo wa internet imeharibu biashara zangu kupitia API nilizounganisha kwa wanaofahamu alafu unaombwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni Mambo Manne Yatakayo Tokea Kampuni Yako Isipo File Beneficial Ownership

    Habari Mjasiriamali, Karibu kwenye Episode 2 ya Business Compliance series" na Leo tunaongelea"Beneficial ownership" Kila Kampuni Ina wajibu wa Kusajili beneficial owners ndani ya siku 30 baada ya Kusajili Kampuni. Hili ni takwa la kisheria ambalo kila Kampuni inalazimika kulifuata kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu mtu aliyekuacha kurudi kwenye maisha yako, umemruhusu akuchukilie poa!

    Anachoongea kwa maandishi "Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye level ya deki hiyo. Au ile bamba tunayoweka mlangoni kabla hatujaingia ndani tunafuta miguu yetu tu...
  7. JamiiForums Tanzania Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa?

    Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la biashara. Fikiria hali hii. Umeanzisha biashara, umetengeneza nembo, mabango, kurasa za mitandao...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye mtego wa kukopesha ili tu kujenga mahusiano mazuri na wateja, ujue unachimbia shimo ambalo linaweza kuizika biashara yako.

    Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾 Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unajenga nyumba ya makazi karibu na higway? Hujali usalama wa familia yako

    Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa. Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini friji yako inakula umeme kuliko pasi? Siri ya inverter unayopaswa kujiua.

    Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu: 👇 Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku. Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Ipi ni nyimbo yako Bora ya muda wote?

    Yakwangu ni Aikon--Ghetto hii nyimbo jamaa aliitunga kwa ustadi wa hali ya juu sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
  14. JamiiForums Tanzania Pata pesa tujue tabia yako

    hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  16. JamiiForums Tanzania USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anaejielewa lazima awe bahili? Toa maoni yako

  18. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
  19. JamiiForums Tanzania Kozi ya Content Creator (Full Course) – Jenga Brand Yako na Anza Kutengeneza Pesa Mtandaoni

    Je, unatamani kuwa Content Creator anayevutia maelfu ya watu na kutengeneza kipato kupitia mitandao ya kijamii? Kozi ya Content Creator (Full Course) ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuunda maudhui bora, kujenga brand yako, kuongeza...
  20. JamiiForums Tanzania Je , upo comfortable watu wako wa karibu , ndugu na marafiki waijue account yako ya Jf ?

    Moja kwa moja... Jf imekuwa tofauti na mitandaoni wengine watu wengi tunatumia majina na picha fake kama utambulisho wetu wachache sana wanaotumia utambulisho wao halisi , hali hii inaelekea ugumu kukutana na kuwajua Wana Jf mtaani tofauti na mitandao mengine. Na mtu anaweza kujutajia account...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…