Utakufa na maiti yako haitaonekana

Utakufa na maiti yako haitaonekana

As long as nimekufa hiyo haitanishughulisha sana maana nitakuwa sipo tena, sitajali maiti yangu watakula ndege au wanyama kama fisi, sitakuwepo, sitahisi chochote, ufahamu wangu wote utakuwa haupo, sitaumia, sitakwazika nitakuwa sipo kama kile kipindi ambacho nilikuwa sijazaliwa.
 
Samia yupo wapi
Screenshot_20260930-115507.png
 
As long as nimekufa hiyo haitanishughulisha sana maana nitakuwa sipo tena, sitajali maiti yangu watakula ndege au wanyama kama fisi, sitakuwepo, sitahisi chochote, ufahamu wangu wote utakuwa haupo, sitaumia, sitakwazika nitakuwa sipo kama kile kipindi ambacho nilikuwa sijazaliwa.
Umemaliza yote mkuu, baadhi ya watu wanaogopa kufa na wasijulikane, swali la kujiuliza ukishakufa hata usipozikwa inasaidia nini, wakati hawawezi kurudisha uhak wako?
 
Hapo sasa watu wanajiangaisha Bure tu wakati ukifa unakuwa haupo na kitu kisichopo hakiumi Wala hakijishughulishi na chochote
 
Back
Top Bottom