Mama usifumbe macho yako niko hapa

Mama usifumbe macho yako niko hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,375
Reaction score
869,710

Wimbo "Mama, Don't Close Your Eyes" wa mradi wa "Bjorn Bonebreaker" uliotolewa Septemba 2026 ni wa kutengeneza na umetengenezwa kabisa kwa teknolojia ya akili mnemba (AI), ikiwemo video za tamasha na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
 
Mama don’t close your eyes
I’m still here, I’m still alive
I came through the snow with a shattered soul
But I’m holding on to every word you told
Mama don’t turn away
I found my knees, I learned to pray..."😭❗
 
Huu wimbo wa akili mnemba unanipa hisia za ajabu kuhusu mama zetu.. !

 
Back
Top Bottom