yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Jamaa kashtuka saa nane usiku dali limefungulia na panya mkubwa kaingia chumbani kwake.

  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
  3. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

    Sheria moja kubwa ya Kaz ni kutochanganya mapenzi kwenye kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu) Je, vipi kuhusu kumuajiri rafiki yako kwenye kampuni au ofisi yako?
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze haya kwenye maamuzi yako

    1.Kila zama huja na jambo lake lepesi usipolifanya basi kesho utalifanya likiwa ghari zaidi. 2.Bahati inaweza kurudi mara ya pili lakini inaweza kukuta haupo kwenye mazingira rahisi kama ulivyoipoteza awali hivyo utagharamika. 3.Usiamue kufuata mihemko ya wengine kwa sababu matokeo kila mmoja...
  6. excel

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tuone screenshot ya meseji yoyote kwenye simu yako iliyo kukushangaza, kukufurahisha, kukuhuzunisha, etc

  8. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Unahisi biashara yako inasuasua? Huenda hii ndio sababu kuu kwa 99.9%

    Ijumaa kareem wana JF Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame hapa panakufaa. Kabla ya yote inatakiwa utambue ya kwamba kuna kitu kimoja ambacho biashara zote...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Familia yako imetekwa na unatakiwa kuchagua watu wawili wa kwenda nao kuokoa familia

    Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi? Binafsi nitamchukua John Wick pamoja na John Rambo.
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako

    Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako: 👉Kwa wafanyabiashara wa Online 👉Freelancers 👉Service provider 👉Wanaouza products za afya 👉Wanaouza digital products 👉Wenye ofisi / kampuni Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi Thread 👇👇 1. Target watu wengi kwa...
  11. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Usimpe jirani au rafiki yako yako unga,mpe mahindi ,hela au muache afe njaa

    Jirani yako akikuomba unga,mpe mahindi au mpe hela Kama vyote huna,muwache afe njaa Kwa maana ukimpa unga akaumwa tumbo,hautobaki salama,
  13. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa namna gani unaweza Ku download video za YouTube na kuzihifadhi kwenye Storage ya Simu yako?

    Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa . Ni Application gan nayoweza kutumia?. Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
  15. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)

    Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread) Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe. Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja. Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo. Siri ya biashara inayojiendesha ni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa SERIKALI ambaye take home yako ni Tsh 450k , Tsh 500k na kuendelea , SIKIA HII

    WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha. Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59. Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

    Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
Back
Top Bottom