yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  2. ngara23

    Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  3. BabaMorgan

    Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

    Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
  4. clinton gidioni

    nifundishe kazi yako au ujuzi wako nipo tayari kujifunza na kufundishika.

    poleni na majukumu. nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi . Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu umekuwa hafifu naimani kwa njia hii nitaiona kesho iliyo njema. Nifundishe ndugu nipo tayari...
  5. youngkato

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  6. GENTAMYCINE

    Chief GodLove ulikuwa huwajui Wakenya naona sasa utawajua kwa Nguvu yao ya Kimtandao. Pole kwa Kufungiwa TikTok Account yako

    Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
  7. N'yadikwa

    Unavyoweza kuuza siri zako/za taasisi yako kwa mifumo iliyomo kwenye simu yako.

    Dondoo chache muhimu unazopaswa kuzielewa; Utafutaji Mtandaoni: Software za AI zinatumia bots maalumu zinazopitia tovuti mbalimbali duniani ili kukusanya taarifa zinazohitajika. Bots hizi huchambua maandishi, picha, video na sauti zilizopo kwenye tovuti hizi. Mitandao ya Kijamii: AI hukusanya...
  8. baggio23

    Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  9. youngkato

    Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!

    🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi! 🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales? 🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua? 🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua? 🎯 Unasema "We are open!"...
  10. W

    Ili kuweka "territory" kwenye mahusiano yako huwa unaacha vitu gani kwani mpenzi wako?

    Mimi kwanza sio mtu hata wa hayo mambo. Ila mara ya mwisho nilisahau mkufu wangu kwake na nikamwambia akaniambia ameuhifadhi. Nimerudi nikamuuliza kaniambia hauonekani itakuwa dada wa usafi kautupa. Sasa najiuliza huyo dada wa usafi kwanini anatupa vitu vya watu bila kuuliza jamani.
  11. Knock life

    Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
  12. Mshana Jr

    Heshimu huzuni yako maana ni takatifu

    Huzuni si hisia tu—bali ni kufunua, nafsi ambayo kitu fulani kiliishi ndani yake lakini sasa kimetoweka. Huzuni😪Inakuchonga, na kuacha maumivu mahali ambapo upendo uliishi. Mwanzoni, unahisi kwamba huwezi kuvumilia kabisa, kama jeraha ambalo haliponi. Lakini baada ya muda, taratibu kingo mbichi...
  13. R

    Never say never, kitu gani uliwahi kukiona sio hadhi yako ukajiapiza hutokifanya ila ukaja kukifanya

    Katika haya maisha kuna vitu huwa tunajiapiza hatuwezi kuvifanya kwasababu tunahisi sio hadhi zetu au vinatutia kinyaa lakini baadae tunabadili msimamo. Baada ya kumaliza degree nilijiapiza sitakuja kufanya kazi zisizo za ofisini, msoto ulinisugua bila mafuta, njaa inauma, nilianza kusaka...
  14. Binti wa zamani

    Bibi na babu yako bado wako hai? ni kipi unakipenda na kukikumbuka kuhusu wao?

  15. N

    Nitajie mada yako bora kabisa hapa Jf katika Robo ya kwanza ya mwaka 2025

    Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho.. Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa Kwanini NIMEIPENDA?? Kwa sasa nimerudi kwenye kiini changu...
  16. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Pendezesha nyumba yako kwa ngazi mzunguko kama hii, kwa gharama nafuu kabisa.

    FAIDA ZAKE Inachukua eneo dogo Inamvuto. 0756244608
  17. Setfree

    Furaha yako itarejea au kuongezeka, ukifanya mambo haya 15

    Watu wengi wamepoteza furaha maishani mwao kwa sababu mbalimbali za kimaisha. Kama na wewe huna furaha, furaha yako inaweza kurejea ukifanya mambo yafuatayo: Kuna aliyekukosea? Usimchukie, msamehe – Chuki huiba furaha, lakini msamaha huleta amani. Kuna jambo limeishaharibika? Acha kulalamika –...
  18. Fbn

    Mambo ambayo yanaweza kukupotezea biashara yako ni mazoea na urafiki kwenye biashara hiyo

    Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi. Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta biashara imekufa. Biashara ikishafika steji ya urafiki sana tegemea kufa haraka sababu wengi...
  19. ERTUGRUL BEY

    Mawazo Yako Yanatawala Maisha Yako

    Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae Kila wazo ambalo lipo katika mfumo wa picha ndio litakuwa mustakabali wa kufuatwa au ramani ya kufuatwa...
  20. bosy

    Chonga furniture ya ndoto yako na KIJIJI DESIGN na ulipe kidogo kidogo

    Sasa unaweza kuchonga furniture ya ndoto yako na ulipie kidogo kidogo kupitia group letu la M KOBA. Tunapatikana Arusha, Unga Ltd, Milano INN KWa maelezo zaidi au unataka kujiunga na program ya kulipa kidogo kidogo wasiliana nasi: 0652 278 840 Tunatuma: Dar, Moshi, Babati, Mirerani, Singida...
Back
Top Bottom