Tunatengeneza kadi na website ya harusi yako

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
392
Reaction score
737
Ifanye harusi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kuwa na website ya harusi ambayo itakuwa na picha za matukio yote yaliyofanyika ukumbini na utaweza kushare na marafiki, ndugu au familia yako.

Utapata website hii kutoka HAMIA DIGITAL na hosting ya miezi 6 bure kabisa! Unachotakiwa kufanya ni kununua kadi zetu za kiditali tu za harusi, tunavyo vifurushi aina 3 vya kadi;
  1. Kadi ya kurasa moja: Tsh 1000
  2. Kadi ya kurasa mbili: Tsh 1500
  3. Kadi + Website ya harusi: 2000
Kifurushi cha kwanza kitakupa kadi nzuri sana ya kurasa moja, na utafanya uhakiki wa kadi za waalikwa wako mwenyewe ukumbini. Kifurushi cha pili kitakupa kadi ya kurasa mbili lakini pia timu yetu itafika ukumbini kwako kukusaidia kuhakiki (ku-scan) kadi za waalikwa wako wote. Kifurushi cha tatu kitakupa kadi na website ya harusi yako na hosting ya bure kwa muda wa miezi sita, TIZAMA MFANO WA WEBSITE YA HARUSI.

Utapata yafuatayo ukinunua kadi za harusi za kidigitali kutoka HAMIA DIGITAL;
  1. Tutakutumia aina ya kadi zaidi ya 50 uchague upendayo
  2. Tutajaza maelezo ya shuguli yako kwenye kadi uliyochagua
  3. Tutatuma kadi kwa wageni wako wenye WhatsApp
  4. Tutatuma kadi kwa SMS za kawaida kwa wasio na WhatsApp
  5. Tutapiga simu kwa wageni wako kuwakumbusha kuhusu tukio lako
  6. SMS za kawaida zitaenda kwa jina la shughuli yako mfano: HARUSI | SEND-OFF
  7. Tutatuma SMS kwa wageni wote kuwakumbusha siku moja kabla ya tukio lako
  8. Kadi zitakuwa na QR ya kuscan/kuhakiki ukumbini
  9. Vijana wetu wawili/watatu watafika ukumbini kwako kukusaidia ku-scan
  10. Utapata tovuti/website moja ya tukio lako na hosting bure kwa miezi sita (ONA MFANO)
  11. Tutaipa kamati live link ya kuona wageni wanaoingia ukumini na itaonyesha muda pia
  12. Ukinunua kuanzia kadi 200, utapata hadi beji 20 za ribon za wanakamati bure kabisa
  13. Pia tunatoa zawadi kwa maharusi (surprise) 😍
Nimeweka picha ya beji za kamati ambazo tutakupa bure, sample ya kadi za kurasa moja, sample ya kadi za kurasa mbili, na picha moja ya vijana wetu wakiwa ukumbini ku-scan kadi za wageni wa mteja wetu.

Karibuni sana wateja, kadi za kuprint pia zipo. Tunapatikana Sinza E, DSM lakini huduma utapata ukiwa popote pale hata nje ya mkoa wa DSM: 0749987122

Kadi za Harusi (TSH 1000 - Kurasa moja na Picha 02).png
Kadi za Harusi (TSH 1000 - Kurasa moja na Picha).png
Kadi za Harusi (TSH 1000 - Kurasa moja).png
Kamati.jpg
Team.jpg
 
Attachments

  • Wedding Cards (TSH 1500) 02.png
    Wedding Cards (TSH 1500) 02.png
    3.7 MB · Views: 42
  • Wedding Cards (TSH 1500) 03.png
    Wedding Cards (TSH 1500) 03.png
    1.7 MB · Views: 43
  • Wedding Cards (TSH 1500).png
    Wedding Cards (TSH 1500).png
    3.1 MB · Views: 42
Ifanye harusi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kuwa na website ya harusi ambayo itakuwa na picha za matukio yote yaliyofanyika ukumbini na utaweza kushare na marafiki, ndugu au familia yako.

Utapata website hii kutoka HAMIA DIGITAL na hosting ya miezi 6 bure kabisa! Unachotakiwa kufanya ni kununua kadi zetu za kiditali tu za harusi, tunavyo vifurushi aina 3 vya kadi;
  1. Kadi ya kurasa moja: Tsh 1000
  2. Kadi ya kurasa mbili: Tsh 1500
  3. Kadi + Website ya harusi: 2000
Kifurushi cha kwanza kitakupa kadi nzuri sana ya kurasa moja, na utafanya uhakiki wa kadi za waalikwa wako mwenyewe ukumbini. Kifurushi cha pili kitakupa kadi ya kurasa mbili lakini pia timu yetu itafika ukumbini kwako kukusaidia kuhakiki (ku-scan) kadi za waalikwa wako wote. Kifurushi cha tatu kitakupa kadi na website ya harusi yako na hosting ya bure kwa muda wa miezi sita, TIZAMA MFANO WA WEBSITE YA HARUSI.

Utapata yafuatayo ukinunua kadi za harusi za kidigitali kutoka HAMIA DIGITAL;
  1. Tutakutumia aina ya kadi zaidi ya 50 uchague upendayo
  2. Tutajaza maelezo ya shuguli yako kwenye kadi uliyochagua
  3. Tutatuma kadi kwa wageni wako wenye WhatsApp
  4. Tutatuma kadi kwa SMS za kawaida kwa wasio na WhatsApp
  5. Tutapiga simu kwa wageni wako kuwakumbusha kuhusu tukio lako
  6. SMS za kawaida zitaenda kwa jina la shughuli yako mfano: HARUSI | SEND-OFF
  7. Tutatuma SMS kwa wageni wote kuwakumbusha siku moja kabla ya tukio lako
  8. Kadi zitakuwa na QR ya kuscan/kuhakiki ukumbini
  9. Vijana wetu wawili/watatu watafika ukumbini kwako kukusaidia ku-scan
  10. Utapata tovuti/website moja ya tukio lako na hosting bure kwa miezi sita (ONA MFANO)
  11. Tutaipa kamati live link ya kuona wageni wanaoingia ukumini na itaonyesha muda pia
  12. Ukinunua kuanzia kadi 200, utapata hadi beji 20 za ribon za wanakamati bure kabisa
  13. Pia tunatoa zawadi kwa maharusi (surprise) 😍
Nimeweka picha ya beji za kamati ambazo tutakupa bure, sample ya kadi za kurasa moja, sample ya kadi za kurasa mbili, na picha moja ya vijana wetu wakiwa ukumbini ku-scan kadi za wageni wa mteja wetu.

Karibuni sana wateja, kadi za kuprint pia zipo. Tunapatikana Sinza E, DSM lakini huduma utapata ukiwa popote pale hata nje ya mkoa wa DSM: 0749987122

View attachment 3479568View attachment 3479569View attachment 3479570View attachment 3479571View attachment 3479572
Je unalipia kabla au baada ?
Setfree unaonaje hii... ?
 
utawezaje kufanya vitu vingine vilivyoorodheshwa
mfano: " SMS za kawaida zitaenda kwa jina la shughuli yako mfano: HARUSI | SEND-OFF "
Unatumia huduma maalum za makampuni kama Twilio, Africa's Talking au Nexmo. Hizi zinatoa API ambazo website inaunganisha.

Maswali yanayohusu Injili na uzima wa milele huulizi, lakini maswali yatakayokuwezesha kupata mapesa, hujambo🙂
 
Setfree hadi nimekuandikia uzi lakini hujajibu labda hujauona...
 
Je unalipia kabla au baada ?
Setfree unaonaje hii... ?
Utalipia advance ambayo ni 50%, then kiasi kilichobaki utalipia anytime ila iwe siku moja kabla ya shughuli yako ili ofisi icomfirm na kuandaa vijana wa kuja ukumbini kuscan.
 
Back
Top Bottom