yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulipowalundikia Watanzania na ''Mitozo' yako hukuona kuwa unawapa Mzigo? Unafiki wako na Tamaa zako zitakugharimu pakubwa mno?

    "Napendekeza yeyote aliyeko kwenye nafasi ya kuteuliwa, akitolewa lakini akabaki kwenye utumishi wa umma, arejee pia kwenye mshahara aliokuwa analipwa kabla ya kuteuliwa, hii itawapunguzia mzigo watanzania".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani kuna muda huwa hata navidharau na hivi Vyuo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, umefuta ujumbe kwenye simu yako kwa bahati mbaya? Fanya hivi kurejesha

    Umefuta Message kwa bahati mbaya ?? Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana! Kuna mbinu kadhaa unaweza kuzitumia ili kurejesha sms zilizopotea kwenye simu yako. Katika andiko hili...
  3. JamiiForums Tanzania Haji Manara punguza kuitaja Simba kwenye kila press na maongezi yako

    Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

    Habari wana JF, Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi. Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
  5. JamiiForums Tanzania "Mazoea" yako hujenga mwamba mgumu moyoni mwako

    "MAZOEA" YAKO HUJENGA MWAMBA MGUMU KATIKA MOYO WAKO Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi Ingawaje maisha yanatufundisha tusiwe na MAZOEA kila siku, hayataki tuzoee lakini Sisi ndio tunalazimisha kuwa na MAZOEA, ndio maana leo ni tofauti na Jana, na kesho itakuwa mbali na siku ya leo. Wala...
  6. JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa ukija Ghetto Kwangu kutizama Tv njoo na ama Tsh 1,000 yako au Tsh 3,000 huna kaangalie kwa Mama au Nchemba sawa?

    Nadhani tumeshaelewana sasa Wewe njoo Kwangu kwa Mazoea ya Kutizama Taarifa za Habari utaishia Mlangoni.
  7. JamiiForums Tanzania Aise huo msururu wa wageni bungeni leo huna ndugu yako hata mmoja pole sana

    Nimeona huo msururu wa hao waandamizi kutoka taasisi mbalimbali. Hao wote wanakula kodi zetu aloo. Sasa nawaza wenzangu na mie ambao kati ya hao hamna hata ndugu mmoja hata wa mbalimbali mnajisikiaje eti. Angalau sisi ambao wamo ndugu zetu tunajifariji kuwa angalau Kodi yetu inaliwa na wanetu...
  8. JamiiForums Tanzania Usitumie nywila (Password) moja kwenye mitandao yako tofauti ya kijamii

    Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama. Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
  9. JamiiForums Tanzania Nikupe siri kidogo ya Kudumisha Maisha ya AC ya gari yako na Maisha yako Binafsi

    Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants]. . Sasa watu wengi hatukijui so huwa kinakaa kinajaa uchafu kinaziba au kinafanya upenyo wa hewa kuwa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama umelala peke yako kitandani ukigalagala kama nyoka pita hapa

    Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa. Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine. Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha kuwa na Partner, lakini kama huna basi tubadilishane mawazo huku JF kidogo.. vibe, hamasa na kutiana...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana pambana uwezavo ukitoka kwenye starehe utumie pesa yako

    Kwa ufupi hakuna pesa nzuri kama ya kwako binafsi, najua starehe inahitaji pesa ila ukiwa ukiwa na pesa yako mkononi mambo yote safi..
  12. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono yako

    Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo: 1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja 2. Matunda Kiasi cha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Samia ni Jembe - Mbowe

    "Tukianza kutafuta asiye na dhambi ili tujadiri naye kuhusu kesho yetu hatutampata,hivyo tuna kila lazima ya kuacha chuki na visasi na kuwaamini viongozi wetu" "Siwezi kuwa chawa wa Mama (Rais Samia) na wala sio wa chawa wa mama, lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa Mama japo...
  15. JamiiForums Tanzania Unapojijali nje yako usiisahau ndani yako

    Hili ni swala la kukumbushana tu, sikuhizi watu wanajivika vitu vya thamani si haba na wala si dhambi,lakini kumbuka ndani yako ndio inajenga nje yako! Nje yako unajisitiri na nguo za gharama lakini ndani yako unapeleka vyakula vyenye chemical mpaka enzymes zinashangaa!. Hicho kichwa...
  16. JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa mbia na kampuni za nje katika biashara huku ukitumia 'brand' yako

    Biashara yoyote ni ubunifu. Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje. Swali; utaanzaje anzaje? Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi yake. Itategemea wewe unataka uingie katika biashara ipi. Kwa anayeanza, anaweza kuanza hivi :-...
  17. JamiiForums Tanzania Kupiga picha na watu maarufu, kunakuongezea vipi, unafuu katika maisha yako?

    Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali. Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
  18. JamiiForums Tanzania Badilisha matumizi ya nyumba yako kubwa, kuwa ya kibiashara; hasa kwa wale walioajiriwa

    Kumekuwa na mahitaji au matamanio ya kila mtu anayepata kipato kutamani kumiliki na kuishi kwenye nyumba kubwa. Wapo wanaodunduliza au kupata mikopo, na hatimaye kufanikisha lengo hilo. Na kuishi kwenye nyumba kubwa, huku umeajiriwa, kiuchumi sio ufahari ; kwa sababu inakuwa haikuingizii...
  19. JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
  20. JamiiForums Tanzania SEMINA; Mbinu 7 Za Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo Katika Mazingira Yako

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…