yafuatayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuwalinde na kuwatetea watoto wa Taifa letu dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa kufanya yafuatayo

    Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha madhara mengi ikiwemo mtoto kutengwa katika jamii, mtoto mwathiriwa wa ukatili kujiua na mateso mengine...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Turekebishe maeneo yafuatayo ili kushuhudia mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania

    Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya watu wote kila kiongozi na raia atambue wajibu wake na kutekeleza kikamilifu. Maamuzi magumu...
  3. KijanaHai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ifanye yafuatayo kupunguza kodi umiza kwa wananchi

    VYANZO VIPYA VYA MAPATO Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na hii inakuja kwasababu serikali haina vyanzo vipya vingi vya mapato vipo vile vile ambavyo kiuhalisia...
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Kijani inawezekana, yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira

    Tanzania ya Kijani inawezekana Yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira: Tanzania ina ukubwa wa takribani Km za mraba 945,087. Ni moja ya nchii liyojaliwa kwa ukubwa ardhi yenye rasilimali nyingi, maliasili na hifadhi nyingi za wanyama, misitu, maziwa na maeneo asili ambayo yote...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

    Salam sio lazima! Ndugu wanabodi, Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni haya yafuatayo

    1. Kocha Benchika kutimuliwa rasmi Simba SC 2. Mwekezaji Mo Dewji kuchafua Hali ya Hewa kwa ama Kujiondoa Simba SC au Kuubadili Uongozi wa Bodi. 3. Mwenyekiti wa Bodi Simba Sports Club Limited Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Kujiuzuru rasmi. 4. Simba SC kuitisha haraka sana...
  7. Sina hili wala lile

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ni soko kubwa sana na litanufaisha watanzania kama serikari mambo kadhaa

    kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo 1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo 2. Kupunguza tozo za biashara 3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia...
  8. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia. Pili napenda kuweka...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

    Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations 2.Mitindo ya malezi, maana...
  12. Common Folk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

    Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao. Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo tunu tena, hawathamini ndoa kama jambo kubwa maishani mwao. Ndoa kwao wanakiona ni kitu cha kawaida tu...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  16. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke uliyeolewa, usifanye makosa haya

    Na. John- Baptist Ngatunga ___________________________ Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa kuwa makini sana kuyaepuka ili tusikutwe na lawama. Ndivyo ilivyo pia kwa Mwanamke aliyeolewa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakopa ama kukopeshwa na app za mitandaoni elewa yafuatayo

    Wanajamvi kufuatia mkopo aliyokopa mdogo wangu kwenye APP za mitandaoni nami kujikuta muathiriwa kwa kuwa namba yangu imo kwenye simu yake, hivo basi natamani mfaham yafuatayo:- Application Date 13/02/2024 Due Date 19/02/2024 Platfoam Fee 45500TZS Amount...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Report ya Makonda ya kutembelea mikoa 20 ikimfikia Rais tutarajie yafuatayo kutolea!

    1. Waziri wa Afya - out 2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out 3. Waziri wa kilimo - out 4. Waziri wa Elimu - out 5. Waziri wa Nishati - out 6. Waziri wa ardhi - out 7. IGP - OUT 8. Mkuu wa uhamiaji - out Kuondolewa Kwa :- 6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia 7. DC na Das kote...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sheria mojawapo ya Maskini inasema: Usionyeshe wala usi-post Mafanikio yako

    SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake. Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao. Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao. Wapo maskini wa aina...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Maneno yafuatayo utayasikia kusini mwa Tanzania pekee

    1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa 2. Mwandu-uke 3. Kifuku-masika 4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu 5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka 6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua 7. Manda-wali 8. Mweche(ukwale)-hamu
Back
Top Bottom