wote

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani. Chanzo: ITV habari ------ MWANDISHI...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo

    Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo. Hitijai muhimu la maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii. Tuache kudanganyika vijana tujitume tufanye kazi kwa bidii. Mtu asije kukudanganya utachelewa sana na utazeeka kwa kuwasindikiza...
  4. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka. Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke...
  5. JamiiForums Tanzania Epuka upotoshaji mpya wa wanaCCM

    EPUKA UPOTOSHAJI MPYA WA WANA CCM Amani iwe nanyi wadau Leo napenda kuwaelimisha watanzania wenzangu juu ya upotoshaji mpya wa wana Ccm kwa watanzania. Ukipata ujumbe huu sambaza kwa mwingine kwa namna yeyote unayoweza, iwe Facebook, Twitter, Insta au Whatsup. Kumetokea maneno kutoka kwa wana...
  6. JamiiForums Tanzania Huku 'Mitaani' huwa sijui huwa 'tunadanganyana' tu au labda ni 'kweli' kuhusu Walinzi wa 'Marais' wote duniani na Ulinzi wao

    Humu 'Mitaani' wanasema kwamba..... 1. Walinzi wa Rais Trump licha ya kuwa ni Makomandoo Kimafunzo lakini pia huwa ni Wachawi waliotukuka 2. Walinzi wa Rais Trump huwa hawalali kabisa bali Wao 24/7 huwa wanakunywa tu Kahawa ili Wasinzie 3. Walinzi wa Rais Trump huwa wanasimama nje ya Chumba...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Zingatia, Ukifanya chochote zaidi ya kuweka tiki kwa unaemchagua, umeharibu kura yako

    Salaam wanaJamiiForums na watanzania wote kwa ujumla wetu. Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya wiki mbili zijazo, tunaenda kufanya uchaguzi wa viongozi mbali mbali kwenye Taifa letu. Pamoja na mengi yaliyokwishaongelewa na kampeni zote zilizofanyika, kuna jambo moja ambalo halijapata mjadala...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Habari wadau, Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu. Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tanga: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa Wajawazito na Watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Marais wote duniani wakiwa wanawaambia 'Wateule' wao kuwa wasiwe kama Misikiti / Makanisa 'wanapoongoza' Watu humaanisha nini kati ya yafuatayo?

    Je, 1. Wasiwe Wapole sana? 2. Wawe na Roho mbaya mno? 3. Wawamalize Maadui zao mapema ili wasiwasumbue mbeleni? 4. Wawe wanamfurahisha yeye zaidi na siyo anaowaongoza? 5. Wahakikishe Maslahi ya Vyama vyao hao Marais ndiyo yanazingatiwa? 6. Wafanye Tukio Kubwa na Baya kwa Jamii ila ambalo...
  11. JamiiForums Tanzania Mtanzania ateuliwa kuiongoza Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (NRA)

    Kichwa cha habari chahusika Is this not funny? 😅😅😅😅 ============== Oct 7, 2020 (Thessherald)–The South Sudanese government has appointed an expatriate to lead the National Revenue Authority with the hope of formulating and implementing tax reforms in the country. Dr. Patrick Mugoya, is a...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini anatarajia kukutana na wagombea Urais wote

    I enjoyed talking with NCCR-Mageuzi’s James Mbatia and hearing his insights gained from 30 years in Tanzanian politics. I hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIES to share America's interest in a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process.
  13. JamiiForums Tanzania Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

    1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka mwisho,nimependa ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo ni wimbo ambao ukipigwa hata kama upo pembeni na mama watoto...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Wito kwa wanafunzi wote mliofikisha umri wa kupiga kura na wenye Kitambulisho cha Mpiga Kura

    Tarehe 28 -10-2020 Ni siku ya kupiga kura. Wito wangu Ni hivi, Jitokezeni kwa wingi, yaani hata mmoja wenu asibaki nyumbani. Nendeni mkapige kura Huku mkimkumbuka Mwanafunzi mwenzenu Marehemu Akwilina. Unapoingia chumba Cha mpiga kura Mkumbuke Marehemu Akwilina msichana Mrembo aliekufa kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wangu kwa Watanzania wote kuelekea 28/10/2020

    Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi mema na Taifa hili poleni Kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Ndugu zangu Watanzania hakuna asie juwa katika kipindi cha uchaguzi Raia/wananchi hutumika kama mtaji wakisiasa na ndio maana kila chama hupenda kuonyesha wingi wa hadhira imekwenda shuhudia mikutano...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au? Kama kitu Watanzania wanachotaka ni maendeleo, then...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif aahidi kuwalipa Wazanzibari wasio na ajira, asema ni jukumu la Serikali

    Maalim aahidi ndani ya mwaka mmoja WaZanzibar wote wasio na kazi au kuajiriwa wataanza kulipwa kila mwezi, na hilo sio la kichama bali ni lazima serikali iliyopo madarakani iwaangalie wananchi wake, tokea wanazaliwa hadi wanaingia kaburini, Alitalia kwa kusema cheo ni dhamana na amana hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba akiwa Buchosa: Nichagueni Urais ili nitokomeze njaa na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

    Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli awasili Zanzibar kwa kampeni za kishindo, aahidi kuwanadi wagombea wote wa CCM

    Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata. Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka msikitini. Dkt. Magufuli amesema atawafanyia kampeni wagombea wote wa CCM huko Zanzibar. Source...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…