Huwezi kulinda Kwa moyo kitu usichokifahamu vizuri. Ukiteuliwa Leo unaapishwa kesho kulinda katiba, wapo wanaopa kulinda katiba wasiyoifahamu inasema nini na inataka nini, ndiyo maana watu wanakubali haraka haraka kuapishwa. Pengine hawafahamu katiba inataka nini, inaruhusu nini na inakataza...